Namuombea msamaha hayati Magufuli kwa makosa aliyoyatenda

Nani atalipia uhai wa Ben Saanane, Godfrey Luena, Mawazo, Azori, Daniel John n.k

Nani atamwomba msamaha Tundu Lisu?

Nani atamrudisha Samson Kanguye?

Magufuli alitakiwa atengeneze mambo ya nyumba yake. Hakufanya hivyo. Wacha wampopoe hata akiwa mfu

zanzibar pemba mkampa aliwamaliza wangapi
 

unayajua aliyoyafanya nyerere? au wewe mtoto wa juzi. nyerere kataifisha mjumba ya watu tanzania nzima tena za waislamu hata ikulu ya magogoni ilikuwa ya mwarabu watu wamelishwa unga wa ugali wa njano dawa ya mswaki unapewa 1 kwa kila kaya. mkapa kaichafua pemba watu walikimbilia nje ya nchi kesi ya rada iko wapi mbona hao hamwasemi mnashingilia ujinga. chuki zenu kwa makufuli wengi wenu ni wachaga na chadema
 
Taasisi watumishi wake waliopunguziwa mishahara inajulikana
Waliotolewa kauli mbaya inajulikana

Tumsamehe hayati kwa makosa machache madogo, na tufurahie mazuri yake mengi. Mh. Rais arekebishe kasoro hizo ndogo. Mi naona mengi mazuri kwake
Hapo ndipo unapokosea kusema mazuri ni mengi kuliko mabaya wakati ni kinyume chake.
 
Ndumilakuwili hilo limetumwa kuja kupima akili za wa-TZ zikoje kumbe lenyewe ndiyo limeonekana pumba pumba haswa [emoji16]

JPM hafutiki na hatafutika kamwe mioyoni mwa wa-TZ, labda ziharibuni kazi zake zinazoonekana [emoji38]

Umesahau kusema mbele ya wa-Tz wanyonge au Sukuma gang.
 
Naunga mkono JPM ana mambo msingi ya kushughulika nayo huko aliko. Hawezi saidia chochote katika taifa, nadhani wanaopenda kulalama ni wavivu wa kufikiria. Kama kosa limeshafanyika na lishapita liko kwenye historia, nadhani watu wajikite kurekebisha zaidi badala ya kunyoosha vidole.

Mie nitoe ushauri wangu huu wa kila siku, wananchi wajikite zaidi kuchanganua sheria zetu zikoje na zinalisaidia vipi taifa. Pale penye mapungufu wawakalie rohoni wabunge bila ya itikadi. Kama kuna somo la maisha ya JPM basi ni hilo la sheria zetu zilitumika vipi na zina udhaifu gani.

Moja eneo linalohitaji marekebisho ni madaraka ya raisi, DC, RC n.k. Hata hili la kesi kutokuwa na dhamana lina utata mkubwa na nadhani linatumika zaidi kupinisha haki. Maishani mwangu nimeshuhudia kesi nyingi sana zikipelekea watu kusota jela na hatimae zinafutwa. Watu hawalipwi fidia wala waliohusika hawawajibishwi kwa kueka watu ndani bila ya sababu ya msingi .... Anaamka tuu wakili wa serekali anasema basi sina haja ya kuendelea na kesi!!! Ulikuwa wapi siku zote ?????
 
Hivi Jiwe wakati ni waziri sini yeye aliyeuza nyumba za serikali na kuwaonga hawala zake? Umesahau ishu ya kivukl kibovu.
 
Upo tayari kukinywea kikombe cha JPM! Mwache bado mambo hayajajulikana subirini mtaona lazima haki itendeke.
 
Labda kama vitabu vinaandikwa na wanyonge, ila kama ni watu wenye utimamu sidhani. Yule atakumbukwa kwa uovu wake kwa wa Tanzania
 

Sisi Wachagga na cdm tunamsema Magufuli, ww msukuma waseme Nyerere na Mkapa. Ni suala la kugawana majukumu tu. Umepanic mpaka inabidi uingize ukabila.
 
..Ni jambo zuri sana.

..lakini inabidi uyataje hayo makosa, na waliokosewa.

..Tanzania inahitaji TUME YA UCHUNGUZI itakayowezesha wote walioumizwa, kujulikana, kusuluhishwa, na kuombwa msamaha.

Tuanzie awamu gani?
 
Acha Ufala! 80% walimpenda, unaitoa wapi hiyo taarifa? Hivi Angeangaika kuiba kura kama alipendwa kiasi hichi? Au alipendwa na machizi wasio na sifa ya kupiga kura?
Sibishani na watu wa itikadi....ninatoa maoni yangu maana hata sasa Fanya random survey uliza kati ya rais magufuli na aliyeko madarakani nani zaid.....then urudi hapa utupe majibu.
 
Sisi Wachagga na cdm tunamsema Magufuli, ww msukuma waseme Nyerere na Mkapa. Ni suala la kugawana majukumu tu. Umepanic mpaka inabidi uingize ukabila.
Wachaga mtulie hamjawahi kushika dola. Mmezaliwa ili muongozwe na itabaki hivyo.
 
Hakuna uwezekano wa kufanyika hayo mabadiliko maana bunge hili yeye ndio kaliweka, na haliko tayari kufanya mabadiliko maana litapoteza madaraka.
 
Nenda LIVE na wanahabari...

Idea nzuri hii,, unaweza kupata teuzi..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…