Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Yule alikuwa na mapungufu ya kibinadamu alafu na yake mwenyewe... Na watu wanamchallenge kwa mapungufu yake ambayo mengi alijitakia kwa kiburi chake!Naunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu mwingine yeyote, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Tuanzie awamu gani?
Walipeni fidia ndugu wa mliowaua kwa amri zake au waiteni mliowajeruhi na kuwateka muwaombe radhi.Habari ndugu zangu Watanzania.
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu, na hatujakamilika.
Ukitaka kuangalia kwa undani utaona mazuri ni mengi kuliko mabaya kwa hayati Magufuli.
Namuombea msamaha kwa hayo mabaya machache aliyoyatenda maana yeye ni mwanadamu hajakamilika, na tufurahie kwa mazuri mengi aliyoyatenda. Tumuache hayati apumzike
Namuombea msamaha kwa haya machache
-Kupunguza mishahara kwa baadhi ya taasisi.
-Kutokuwa na kauli nzuri kwa watendaji wa hovyo
-Kushirikisha wasaidizi wako kabla ya kutenda kwa kila jambo
Ushauri kwa Mh. Rais wa Sasa
- Sahihisha makosa ya mtangulizi wako kwa kuwarejeshea mishahara taasisi zote watumishi wake waliopunguziwa mishahara
- Jitahidi kutoa kauli nzuri, za staha
- Shirikisha wasaidizi wako hatua kwa hatua
Naomba kuwasilisha
Kosa ni lipi lililofanyika? Hili ni swali lisilojibiwa tunaaminishwa tu kuna kosa.Naunga mkono JPM ana mambo msingi ya kushughulika nayo huko aliko. Hawezi saidia chochote katika taifa, nadhani wanaopenda kulalama ni wavivu wa kufikiria. Kama kosa limeshafanyika na lishapita liko kwenye historia, nadhani watu wajikite kurekebisha zaidi badala ya kunyoosha vidole.
Ndicho watu wanachofanya, kama unafuatilia watu wanasema tunahitaji katiba mpya yasijirudie tuliyoyapitia na ambayo wengi wanaishi na maumivu hadi leoMie nitoe ushauri wangu huu wa kila siku, wananchi wajikite zaidi kuchanganua sheria zetu zikoje na zinalisaidia vipi taifa. Pale penye mapungufu wawakalie rohoni wabunge bila ya itikadi. Kama kuna somo la maisha ya JPM basi ni hilo la sheria zetu zilitumika vipi na zina udhaifu gani.
Sasa ukifanya reference ya JPM unaambiwa hapana twende mbele! unajifunzaje ukiugopa ukweli!Moja eneo linalohitaji marekebisho ni madaraka ya raisi, DC, RC n.k. Hata hili la kesi kutokuwa na dhamana lina utata mkubwa na nadhani linatumika zaidi kupinisha haki. Maishani mwangu nimeshuhudia kesi nyingi sana zikipelekea watu kusota jela na hatimae zinafutwa. Watu hawalipwi fidia wala waliohusika hawawajibishwi kwa kueka watu ndani bila ya sababu ya msingi .... Anaamka tuu wakili wa serekali anasema basi sina haja ya kuendelea na kesi!!! Ulikuwa wapi siku zote ?????
na mtapanic sana mbuzi nyie, Madam Samia bado yupo sana mnaleta spinning za kipuuzi ili mama ajisahau mje mumsanue, mmekwama vibwengo nyieKenge we
DuhKaka usitafute tukulaani na vizazi vyako,unajua kwa nn mungu alimtuma mwanae wa pekee kufia dhambi za wanadamu? Kwa nn kama ishu ni kufa asingetuma malaika mmoja tu,makosa ya jpm ni sawa na rafikiako atembee na mke wa mzee mtaani eti ufunge safari kwenda kumuombea msamaha utafirw* stay away ,dont matter watu wamepoteza mamia ya ndugu wa damu mfano heche kazika mdogo wake wa damu ,watu wamelawitiwa ,watu no vilema hai hadi leo na maisha yote ,kuna watu hata leo wako jela ,kuna vijana 6 wamehukumiwa kifungo cha maisha bukoba kisa uchaguzi wa wizi 2020,watu wamefilisika mazima ,aproximately watanzania 200k walikimbia utawala wake wengine walikuwa wanakamatwa maboda ,kina lisu hawaoni mama zao mwaka wa 5 ,ww umekunywa mbege zako ukaweka bando la buku unaanza kuingilia topic kubwa kwa approach ya chekechea .usipende kukaa na wachawi hata kama ww sio utachukiwa
Ushauri wangu kwako kama ndugu:
Hili ni fundisho kwa Watanzania tusifanye tena makosa kwenye nafasi ya Urais na kuliweka jitu lolote lililokosa ustaarabu uncivilized.Ushauri wangu kwako kama ndugu:
1JUA UKUBWA WA DHAMBI ZAKE,mauaji ,pesa alizoiba kupitia mayanga construction tilions (chato tu kapoteza bil 50 mali ya wabibi watanzania wanaokufa vijijini kwa kukosa dawa ya tshs 5000)Maamuzi ya kukataa hatua za corona kisa walimnyima hela yaliua makumi ya elfu ya watanzania ,wanaume kama ulivyo ww wamelawitiwa kwa maagizo yake , mmoja hai walilawiti mkewe akiona
2.JUA TARATIBU ZA MSAMAHA
-Kwanza inabidi ukiri umekosea nn kiasi gani na wapi uyaainishe kwa undani
-kisha unirudishie ulichoninyanganya na kunifidia (kama ulininyanganya ardhi unirudishie) sio unaniomba msamaha kwa gari ulinidhurumu afu nakusamehe unaondoka na garinlangu kufurahia msamaha baa
-unipe mpango mkakati kudhihilisha ni nia yako ya dhati hutarudia (Maridhiano na KATIBA MPYA)
-Kisha tunasameheana tunaanza upya au lasivyo wategemee watakuja fanyiwa na mshenzi mmoja yote kuna maelfu ya watoto ni yatima na wameambiwa na mama zao baba yako aliuliwa na nyani ilitokeaga mapoli ya chato
Waambie hayo watoto na familia za Saanane,Gwanda na KangoyeNaunga mkono hoja, JPM was a human being just like human being mwingine yeyote, anaweza kuwa na mapungufu yake ya kibinaadamu kama binadamu mwingine yeyote, no one is perfect, aachwe apumzike kwa amani
P
Waambie hayo watoto na familia za Saanane,Gwanda na Kangoye
CCM imeshindwa kumlinda Magufuli matusi mengine anayotukanwa leo alifanya kwa maslahi ya chama chake.Aliitoa ICU na alikoiacha ameondoka na siri yake.
Muda utaongea pigia mstari hii post
Alianza kishauri kinana akatumwa india kwa matibabu ,akiwa kwake tanzania wanajeshi wamezunguka ,kisha akaja mzee mangula akapigwa sumu,akaja kingunge akauliwa na mbwa anaowafuga kila siku,akamshauri kikwete akatoa hotuba kuna wastaafu wanawashwa washwa ,akaandikiwa barua na wakina january nape na wazee wa chama akahick simu zao na kusikiliza maongezi ,akawabana wakaomba msamaha wa woga,Jiwe alifanya ubaya kwa makusudi stahili yake ni JEHANAM..Ccm walishindwa kumlinda Jpm tangu mwaka 2015 kwa kumuacha aongoze kampeni chafu za uchaguzi.
..mambo yote mabaya anayolaumiwa nayo Jpm Ccm walikuwa na wajibu wa kumuongoza na kumlinda ajiepushe nayo.
..lakini baya zaidi ni kumuacha afanye mizaha na ugonjwa hatari wa corona huku wakijua anatumia kifaa cha kuongoza mapigo ya moyo.
..unabaki unajiuliza WAZEE WASHAURI KTK CHAMA walikuwa wapi kumshauri Jpm?
Mkapa mbona hasemwi vibaya naye si alikuwa binadamu ?Habari ndugu zangu Watanzania.
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu, na hatujakamilika.
Ukitaka kuangalia kwa undani utaona mazuri ni mengi kuliko mabaya kwa hayati Magufuli.
Namuombea msamaha kwa hayo mabaya machache aliyoyatenda maana yeye ni mwanadamu hajakamilika, na tufurahie kwa mazuri mengi aliyoyatenda. Tumuache hayati apumzike
Namuombea msamaha kwa haya machache
-Kupunguza mishahara kwa baadhi ya taasisi.
-Kutokuwa na kauli nzuri kwa watendaji wa hovyo
-Kushirikisha wasaidizi wako kabla ya kutenda kwa kila jambo
Ushauri kwa Mh. Rais wa Sasa
- Sahihisha makosa ya mtangulizi wako kwa kuwarejeshea mishahara taasisi zote watumishi wake waliopunguziwa mishahara
- Jitahidi kutoa kauli nzuri, za staha
- Shirikisha wasaidizi wako hatua kwa hatua
Naomba kuwasilisha
Tukiorodhesha maufisadi yakeutaenda kunya juu ya kaburi weweHabari ndugu zangu Watanzania.
Nimekuwa nikifatilia mijadala ya kumsema hayati Magufuli ikiwa inataradadi hapa jukwaani. Nipende tu kusema hakuna mwanadamu aliyemkamilifu. Kila mwanadamu ana mazuri na mabaya yake. Wote sisi ni waja wa Mwenyezi Mungu...