Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Dini ni UTAPELI
Dini ni mpango wa mwanadamu kumtawala binadamu mwenzie...
 
Ktk Imani ya Ukristo ni tofauti na Imani nyingine. Ukristo wa biblia ninaoujua unamfata kiongozi kama kiongozi anamfata mwanzilishi wa Imani hii yaani Yesu Kristo. Kama kiongozi hamfati huyo basi waaumini wanahaki ya kiimani kuachana na kiongozi wao. Hivyo, siku Magembe akiacha hiyo Imani ya kumfuata Kristo na hao waumini ambao wanajua walichokiamini wataavha kumfuata Magembe. Kumbuka yeye hatokuwa wa kwanza kuacha Imani.
Lakini kwanini umuwekew premise mbaya Mzee wa watu. We unafikiri kwa umri ule anatafuta pesa! La hasha sidhani hilo kuwa kweli.
 
Mazinge huyu huyu anaenda kumrudisha Kajala kwa Harmonize chini ya ushenga wa Mwijaku
 
Kwamba Magembe kusema buldoza tapeli ni kumwonea wivu? Buldoza na Magembe utumishi wao haifanani, na Magembe hayupo kumake money Bali apenda watu waokolewe.

Kumbe hata wauza drugs wanaotengeza pesa haramu tusiwachukie kwamba tutaonekana kuwaonea wivuπŸ€”
 
Mkuu kama usemacho ni kwel bas anguko la Casian liko karbu.Lakin pia kuna watumish wengi wanaotahadharisha matumiz ya vitu katika uponyaj kama vile chumvi,maj,mafuta n.k
Kwahyo wanaposema hivo automatically mwamposa ataguswa ila sio kwamba wanamlenga yeye directly.Mfano hata Mwl.C.mwakasege huwa ana anaonya hilo je nayey tutarajie kuanguka?.
Pia ujue haa hata kwenye tasnia ya burudan hasa muzik kuna watu ukiwadis ujue unaweza aga tasnia husika. Hata bila ya wao kupigana nawew physically au orally je tuseme nawao wana nguvu za Mungu dhid ya adui zao?
 
Mama zenu dada zenu na wake zenu kilasiku wanakimbilia kwa Mwamposa... Ila nashangaa mnavyozidi kumtukana kumsema mnyakyusa wa watu ndio kwanza anapelekewa sadaka hadi na Rais πŸ˜…πŸ˜‚πŸ˜‚
WaTz mnakufa kwasababu ya umasikini chuki makasiriko wivu na kukosa elimu...πŸ’©πŸ’©πŸ’©
 
Mwamposa anafanya vitu vingi vizuri ambavyo dunia inavihitaji ndio maana anakuwa rewarded.

Kwanza anawaunganisha watu bila kujali tofauti ya dini zao.


Pili anawapa matumaini watu waliokata tamaa

Why haujajibu mengine?
 
Mazinge kafanya nini?
 
Wewe na Mwamposa mpo cult moja nawaelewa vizuri tu.
 
Mwamposa anafanya vitu vingi vizuri ambavyo dunia inavihitaji ndio maana anakuwa rewarded.

Kwanza anawaunganisha watu bila kujali tofauti ya dini zao.


Pili anawapa matumaini watu waliokata tamaa
Aunt yangu ni mfuasi wa mwamposa miaka minne sasa lakini kila siku matatizo hasa ya kuugua hayaishi nilishamwambia tatizo unamwamini mwamposa kuliko Mungu na hutoona mabadiliko
 
Na viongozi wote wanaoenda pale wanapata vyeo na nafasi nzuri.mfano makonda alipofulia alienda pale. Chalamila alipotumbuliwa alienda pale na wengine wengi sahivi wote wanamashavu ya maana..
Kuna kitu pale sio bure..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…