Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Umemaliza kila kitu,barikiwa
 
Aunt yangu ni mfuasi wa mwamposa miaka minne sasa lakini kila siku matatizo hasa ya kuugua hayaishi nilishamwambia tatizo unamwamini mwamposa kuliko Mungu na hutoona mabadiliko
Mwamposa wamemfanya Mungu wao!
Dada yangu mwaka jana alitaka kuja kutokea Kahama lakini nikamwambia wewe umeshindwa kumwamini Mungu unamwamini Mwamposa hutapata matokeo!
Omba mwenyewe na ujenge inamani yako juu ya Kristo Yesu mambo yote yanawezekana kuliko kutumia pesa nyingi kumfata Mwamposa ambeye ni
Mwanadama na legitimacy yake inatiliwa mashaka!
 
Mwamposa ni balaaaa, ila kuunganisha shida za watu wengine kisa kumsema Mwamposa huo ni uongo, kwasababu kuna watu wanamtukana kabisaa Mungu na wanapiga pesa, toa akili yako kwenye jela ya Mwamposa
 

unamsifu mwizi kuiba vizuri? kweli kama dunia tumefika mbali!
 
Taasisi nyingi siku hizi zinatumia mawakala. Kwa hiyo hata huyo Mjanja wa kawe kuwa na mawakala haishangazi
 
Mwamposa anafanya vitu vingi vizuri ambavyo dunia inavihitaji ndio maana anakuwa rewarded.

Kwanza anawaunganisha watu bila kujali tofauti ya dini zao.


Pili anawapa matumaini watu waliokata tamaa
Mwamposa na uchawi wa sirini, mch Magembe hawezi kuwa na anguko lolote, nenda kanisani kwake ukaone kulivyo
 
Yaani na kingeraza chako hicho umetaka kutuchota ila imegoma bwana😁😁😁😁

Bro nakuheshimu sana ila hapa nakupinga na SPANA unakulaπŸ€—

Nimeishia hapo ulipoanza kumsifia tapeli wa Kawe.

Uko kwenye kutoamini dini za kuletewa sina shida napo shida inakuja hapo unapoanza kuamini kupata mafanikio kwa kuombewa na kupakwa mafuta, ebu tudadavulie MSINGI wa imani yako katika huu UPOTOFU!!!

Mantiki inakataa kuwa huyo tapeli wa imani anayoyafanya ni ya kweli.

1.Kufanya viwete na vilema watembee,kuona nk. Sayansi inagoma akili inakataa.

2. Kuwaponya wagonjwa wa magonjwa haya ya Hospitali,tapeli hana ushahidi!!!

3.Kutoa mafanikio bila kufanya kazi bali kwa kuombewa!!!

nk.
 
Ukiona wewe ili kuhalalisha jambo unaangalia nani kafanya au idadi ya watu wliolifanya anza kujitafakari, kwanini unabeba hicho kichwa kama helmet.

Msingi wa mema na mabaya ni kujua kujenga hoja kutokana na ukweli/ facts.

Amka toka usingizini na uanze kutumia akili yako vizuri.
 
Taifa linaangamia kwa wajinga kupewa airtime!!!

Wasomi wanachangia hili kwa kukaa pembeni na kuacha wajinga na vichaa ndo washike usukani😭😭😭
 
Huyu Mleta Mada Akili Kichwani Zimesafiri.Chanzo Changu Ni Thread Zake Anazoziandika,Mtu yoyote Akishaanza Kujisifu Kwa Mambo Ya Hovyo Huyo Dishi Ujue Limeyumba Kwa Hiyo Hii Mada Inapita Mule mule .
 
Amina
 
Kwahio unachukia unataka hadi kutokwa roho kwa chuki na wivu kuona Mwamposa anafuatwa na mama yako dada zako na mkeo..? Unataka facts zipi sasa kijana wangu wakati mtu mnaye mtukana na kutamani afe au adondoke ndio kwanza hadi watu wasio wa dini yake wanaenda kwake kupata msaada? Watu hadi kutoka nchi za Africa Asia na Ulaya wanaenda Kawe kupata hitaji la moyo la Mungu wake...
Watanzania mnasumbuliwa na chuki wivu na ushirikina ndio maana mnakufa mapema, kazi yenu kushinda ktk mitandao kuwatukana watu waliofanikiwa...
WaTz wengi mmelaaniwa hamtakuja kufanikiwa
 
Nakuja kujibu nilikuwa busy na kidemu changu kipya kimezaliwa tarehe 8 January 2007. Jana kimefikisha miaka 18 nilikuwa nakula mema yake

Nimecheka sana 🀣🀣🀣🀣

Hao dogo dogo unachagua walio na nyota au?

Why isiwe wa umri wako πŸ˜…πŸ™ŒπŸ½
 
Nimecheka sana 🀣🀣🀣🀣

Hao dogo dogo unachagua walio na nyota au?

Why isiwe wa umri wako πŸ˜…πŸ™ŒπŸ½
Yes wa nyota.

Duh yani nisex na mwanamke aliezaliwa mwaka 1985?

Like seriously?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…