Namuona Mwamposa nyuma ya anguko la kiroho la Mch. Moses Magembe na Ustaz Mazinge

Huyu Mleta Mada Akili Kichwani Zimesafiri.Chanzo Changu Ni Thread Zake Anazoziandika,Mtu yoyote Akishaanza Kujisifu Kwa Mambo Ya Hovyo Huyo Dishi Ujue Limeyumba Kwa Hiyo Hii Mada Inapita Mule mule .
Upo sahihi kabisa mkuu
 
Mungu hadhihakiwi mwamposa siku zake zinahesabika
 
Ujinga ni zigo la misumari, endeleeni kuwatajirisha wajanja siku akili zikiwakaa fresh mtarudi kwenye mstari.

Wajinga ndio waliwao!!!
 
LIKUD nipe link ya ule uzi wako wa kuwa na mtu kwny familia ambae ni msumbufu yani anafanya watu hamtulii...
Yametukuta...sikua nachukulia serioud ila sasa nilivyokumbuka ule uzi nikasema kwelii ni ukweli mtupu..
 
Mwamposa anafanya vitu vingi vizuri ambavyo dunia inavihitaji ndio maana anakuwa rewarded.

Kwanza anawaunganisha watu bila kujali tofauti ya dini zao.


Pili anawapa matumaini watu waliokata tamaa
Tushajua we mfuasi wake.
 
Ujinga ni zigo la misumari, endeleeni kuwatajirisha wajanja siku akili zikiwakaa fresh mtarudi kwenye mstari.

Wajinga ndio waliwao!!!
Pole mtoto mzuri kwa kuliwa, inaonekana umeliwa sana hadi hujitambui...
 
Mwanaume mzima yupo hapa anadanganywa na Mwamposa over my dead body sitokanyaga kwa Mwamposa ni watu tu wasiojielewa ndio wanamshabikia tapeli ambae akitaka gari anachangiwa waumini wakitaka magari wanaombewa…ni wajinga watupu wanaomwamini huyo tapeli mtu na akili zake anaenda kunyweshwa mafuta ili apate kazi…

Yaani Mwamposa ni mganga wa kienyeji tu kama waganga wenginee maana ili uendelee kufanikiwa lazima uendelee kula keki yake kunywa maji yake na mafuta yake WTF yaani ni kama dawa… wewe Yesu anaponya mara moja tu hakunaga hiyo ya kutumia dawa kila siku kama upo hospital basi kutakuwa Hakuna haja ya uwepo wa maombii..
mimi naamini Uponyaji wa kimungu ni mara moja tu Mungu awezi kila siku akawa kama dawa yaani akuponye kitu kile kile kwa kutumia sijui mafuta

Akili finyu nyie waumini na wafuata miujizaaa

Kitu ambacho naweza kumshauri yoyote ni kumtafuta Mungu na mengine yote mtazidishiwa.. mtu unaenda kanisani kutafuta muujiza upate ndoa upate gari upate kazi.. uvivu tu wa kufanya kazi
 
Naomba nipewe ushahidi usio na mashaka kuwa Mazinge ameritadi.
 
wewe unafaa kuitwa PUMBAVU promax
 
netanyahu na makombora yake anamsubiri uyo kristo aje na upanga
 
Na viongozi wote wanaoenda pale wanapata vyeo na nafasi nzuri.mfano makonda alipofulia alienda pale. Chalamila alipotumbuliwa alienda pale na wengine wengi sahivi wote wanamashavu ya maana..
Kuna kitu pale sio bure..
Hakuna kitu upuuzi na utapeli tu,kama ivyo ndivyo, kwanini asiende mahospitalini akawaponye wagonjwa!!,,hii inanikumbusha pia enzi zilee za kikombe cha babu loliondo kuna wagonjwa walikufa kwasababu yakutoka hospitali na kufata kikombe cha babu, yaani hawa jamaa uwafanya watu wengine hamnazo kabisaa.
 
Mjinga na fukara wa akili kama wewe lazima uwe shabiki wa MATAPELI na WAJINGAWAJINGA wenzako.
Ila how comes mtoto wa kiume unajiita komasava...? πŸ’©πŸ’©πŸ’© hiyo ni dalili kwamba wanaume washakufukua marinda huna tofauti na mama yako, tafuta muarabu akuweke ndani...

Hivyo ndivyo mimi fukara wa akili ninavyoweza kutambua wasengerema kama wewe
 
Nikusaidie tu kama unakosa point za kujenga hoja bora ukae kimya maana unaanza kudhihirisha UJINGA uliyokujaa kichwani.

Personal attacks hazitakupa USHINDI popote pale utakapokuwa unafanya mdahalo ila itakuchoresha zaidi na kukuonyesha umepanick.

#Rudi kwenye hoja acha mbambamba!!!
 
Umeona ulivyo mweupe kichwani? Umeona ambavyo ni kweli huna marinda wewe?
Mwanaume rijali hawez kuandika "acha mbambamba.." in any means ushashikishwa ukuta...

Haya rudi sasa ktk hoja acha kuandika vijembe kama hanisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…