Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Dah mpaka leo miaka 50 baadae bado mnalaumu ile vita kwa matatizo yenu?
Mpaka ipite miaka mingapi ndio mtarecover?
100?
200?
1000?
 
Vita siyo mchezo braza, yaani utashangaa ndege na mizinga ikianza kulindima Kigali Kagame anatorokea Uganda mara Sudan Kusini mara huyooo Ufaransa..

Vita ni habari nyingine we ona Putin saivi anawaza plan B kutumia nyuklia wakati aliamini pamoja na Majenerali wake kumaliza vita ile ndani ya saa 72.

Saivi anaona aibu kishenzi msenge yule ***** zake nyokoli
 
Kijeshi mnapamba sana Kagame, kiuhalisia ni anaongoza nchi ndogo isiyo na jeuri ya jeshi lenye nguvu kama TZ.
 
Baada ya blabla, malizia, nani alishinda vita?
 
Hivi Kagame aliwakosea nini Membe na Jakaya ???
Maana, ile haikuwa kawaida aisee.....
Niliwahi sikia inshu ilikuwa usuluhishi wa Kikwete kati ya Wa Rwanda waishio Kongo na Kagame wakati Kikwete akiwa Chair Person wa AU.

Kikwete akasema wakutane hao jamaa na Kagame watatue matatizo yao.

PK hakupendezwa kusuluhishwa na hao jamaa...kilichofuata ni maneno ya dharau na vitisho.

Nakumbuka niliona video moja Twitter PK alikuwa ameenda kufunga mafunzo ya ukakamavu ya vijana kama ilivyo huku kwa form six. Then akapiga dongo kuwa mtu asiyejua historia yao harusiwi kuingilia mambo yao na maneno mengine ambayo indirectly ni kama vile response ya AU chair man in that time.....
Ikafuata OP Kimbunga....ikazinduliwa Ngara...Kikwete akiwa na full detail ya security karibia wote ktk uzinduzi wa OP na ilikuwa mara chache sana Kikwete kuwa na CDF, TISS Dir ktk mkutano mmoja wa public so watu wakajiongeza......
 
Hapana aisee, usiwe msahaulifu mapema kiasi hiki.

Pamoja na uhayawani mwingi unaotusumbua mara kwa mara siku hizi, lakini jikumbushe tu kichapo alichopewa yeye na lile kundi analolisimamia la M-- na vijana wetu chini ni ya Kikwete miaka michache iliyopita.

Sidhani kuwa tumekwishalegea kiasi cha yeye kujiimarisha zaidi yetu. Anachoweza yeye ni kuwayumbisha hao akina M7 na DRC basi. Huku kwetu bado anahofia hali ile iliyompata wakati ule.
Sasa usiniulize kama bado tupo ngangari kivile. Sijui.
 
Unayo kumbukumbu nzuri sana juu ya swala hilo.

Ongezea kwenye hayo uliyoandika kichapo walichopewa M23 na mfadhiri wao Kagame na kuwasambaratisha kabisa vijana wakitekeleza majukumu chini ya kundi la UN huko DRC.

Usisahau pia mkasa wa kutaka kupinduliwa yule Jamaa wa Burundi Nkuruzinza, akiwa kwenye Mkutano hapa Tanzania. Uthubutu wa Kagame uliishia ukingoni baada ya kujuwa kwamba hataweza kuyakamilisha mapinduzi hayo Nkuruziza akiwa na mkono wa Tanzania.
 
Pamoja na ujinga wetu mwingi lakini kati ya maeneo ambayo Tanzania ni imara ni upande wa jeshi na ujasusi. Kundi dogo la special elites wa JW wanaweza kuingia HQ yao within 3days [emoji41]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…