Namuona Paul Kagame akiwa kama Putin hapa Afrika Mashariki

Jana kabipiwa Su25 just touched down in Rwanda and took off🤣🤣
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kongo aliingizwa kwenye jumuiya ya Afrika mashariki kimkakati na Kagame kaja kushtuka mwishoni sana, wana East Afrika wanataka wampige kagame MANDE, kagame atakuwa mpole sana kuanzia saiv.
 
Ninachojua tu ni kwamba hakuna nchi hapa Afrika Mashariki ya Kuipiga Kijeshi Rwanda ya Kagame. Nimemaliza.
Wewe unaota, basi subiri au mwambie arushe hata manati tu kigoma aone Moto, kwanza tumevumilia sana kukaa bila kua na mkoa Wetu wa Rwanda.
 
Kagame alishawahi beep late 1990s, Wakati wa Anko Ben, mpaka Leo kichwa kinamuuma. Maana alipelekewa moto overnight. Hana uwezo wote huyu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…