SlimFit
JF-Expert Member
- Mar 29, 2016
- 2,041
- 3,119
Si mchezoDada zetu wakishapata nafasi baadhi yao ndoa huwa zinakufa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mchezoDada zetu wakishapata nafasi baadhi yao ndoa huwa zinakufa!
Mwambienii sophy arejeshe ndoa yake..aache ujeuri na ahame house № 36 mmasaki opp nna engen
Umejipambanua wazi kama team Hamidu Shaka?Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama...
Soma uelewe nilichoandika na siyo kuandika kwa hisia na kunirisha maneno,Hakuna aliyemkubwa kuliko CCM,Pia kuondoka katika nafasi fulani kwa mwanachama wa CCm Kama kiongozi siyo Jambo geni na Wala huwi wa kwanza, pia Nakuomba uaianze kunirisha maneno ya u timu, Mimi Sina timu. Timu yangu Ni CCM na Taifa chini ya uongozi shupavu wa Mwenyekiti na Rais wetu mpendwa mama SamiaUmejipambanua wazi kama team Hamidu Shaka?.
Kwa hiyo wewe unamjua vizuri kuliko Mwenyekiti aliyemtoa hiyo nafasi...
Bwana mwandishi ni CHAWA pro maxNa wewe bwana mwandishi utaenda wapi?
Hili Ni jukwaa huru hivyo hujazuiwa hata wewe kuandika mawazo yakoHuku wewe ukimsaidia kujaza "server" za Jf kwa mapambio!
Hiyo namba yako wahuni wataiweka kwenye matangazo ya waganga wa tiba asili halafu wayabandike kwenye nguzo mji mzima mwenyewe utafurahi.
Mimi nipo naendelea na kazi ya kukitetea kukipigania na kukisemea chama changu popote pale nilipo kwa nafasi yangu ya uanachamaNa wewe bwana mwandishi utaenda wapi?
Imefeli wapi? Utasemeje imefeli wakati unaona Ni wakati huu katika historia ambapo tunaona mapinduzi ya kilimo kwa kuongezeka kwa bajeti kutoka billioni Mia mbili na point Hadi kufikia billioni Mia Tisa na point,lakini pia utolewaji wa mabillioni ya Ruzuku takribani billioni Mia moja hamsini.Huyu jamaa lazima ni midfle age miaka ya 50 ama zaidi. Maana anachoongea hapa kijana anayejitambua haweziongea, hii serikali imefeli yeye inasifia tu hii ni nyuzi yake nahisi ya nne hivi nyuzi zake zote ni mapambie. Nahisi ni wale wadudu wanakaaga kwenye mapindo ya boxer
Ili mtu awe Waziri mkuu Ni sharti awe mbunge wa kuchaguliwa na wananchi kutoka jimboni,Yaani kwa ufupi awe mbunge wa Jimbo moja wapo Kati ya majimbo tuliyonayo na yaliyopoIli mtu awe waziri mkubwa,vigezo ni vipi?
Ya CCM yanakuhusu Nini mkuu wakati ya Chadema tu yamekushindaKama imekuuma sana kajipake naye mkorogo.
Karibu kwa mawazo yako Bora kuliko yangu mkuuUmeandika rubbish [emoji1005] tupu!
Na pia la mwisho ni kuwa Mimi Nakuheshimu na naheshimu michango yako, wewe natambua Ni mwana ccm mwenzangu na hivyo busara inanituma kukuheshimu na kutohitaji kulumbana Wala kubishana na wewe humu kwa Jambo lolote lile iwe Mimi nipo sahihi au wewe upo sahihi au wote Tuwe sahihi au wote kutokuwa sahihi ningependaa tusitoa mwanya kwa wapinzani wetu kwa kuanza kubishana humu,Kama Kuna nilipoikosea Kuna njia mbadala kuniandikia na kunishauri maana sote tunajenga nyumba moja na haina haja ya kugombea Fito Wala kuanza kushutumiana na kushakiana kwa namna yoyote Ile.Umejipambanua wazi kama team Hamidu Shaka?.
Kwa hiyo wewe unamjua vizuri kuliko Mwenyekiti aliyemtoa hiyo nafasi?
Nadhani hujui vizuri .Kikwete alichosema ni wewe utakifanyia nini chama sio utamfanyia nini mtu binafsi naona umejiapiza kumtetea Hamidu Shaka badala ya chama .Unajua madhara yake?
Peleka huu mjadala kwenye magroup yenu ya CCM.Ya CCM yanakuhusu Nini mkuu wakati ya Chadema tu yamekushinda
Aaaargh!Fuata misingi ya uandishi aisee!Weye namna gani vipi Luca?Na pia la mwisho ni kuwa Mimi Nakuheshimu na naheshimu michango yako, wewe natambua Ni mwana ccm mwenzangu na hivyo busara inanituma...
Sawa mkuu nimekuelewa na nitajitahidi kufanya hivyoAaaargh!Fuata misingi ya uandishi aisee!Weye namna gani vipi Luca?
Mimi Ni akina mwakataMolamsha mkuu
Yah mwakata uli kaka nmechanganya ni muda mrefuMimi Ni akina mwakata
Sijiulizi CCM itanifanyia Nini Bali najiuliza nitaifanyia Nini CCM, pia CCM hatugawani vyeo Bali tunagawana majukumu ya kuwatumikia na kuwahudumia watanzania ili waweze kupata huduma Bora na stahiki, kwa hiyo sipo CCM kutafuta vyeo au Fadhira ya vyeo.Peleka huu mjadala kwenye magroup yenu ya CCM.
Kama shaka alikuahidi cheo fanya mkajipake naye mkorogo huko mombasa.