Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 28,722
- 20,610
- Thread starter
- #41
Nempuma kabisa umulungu akwavwaa twalamba umwahaYah mwakata uli kaka nmechanganya ni muda mrefu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nempuma kabisa umulungu akwavwaa twalamba umwahaYah mwakata uli kaka nmechanganya ni muda mrefu
Kuna kipindi nilisikia anaitwa Dr. Sophia, badae ikayeyuka..mwenye taarifa ya Doctorate yake atujuze!Kuna sifa ya ziada hujaitaja,pia Sofia ni mtu wa TISS!
Sasa wewe shaka atakupa jukumu la kufatilia mkorogo mpake mmpendeze.Sijiulizi CCM itanifanyia Nini Bali najiuliza nitaifanyia Nini CCM, pia CCM hatugawani vyeo Bali tunagawana majukumu ya kuwatumikia na kuwahudumia watanzania ili waweze kupata huduma Bora na stahiki, kwa hiyo sipo CCM kutafuta vyeo au Fadhira ya vyeo.
Asantee asanteeeNempuma kabisa umulungu akwavwaa twalamba umwaha
Uchawa pro maxUzi umebomokea hapa.. Imekuwa Rubbish !!...
Unajidhalilisha tu kwa majibu yako ,hata hivyo siwezi nikashangaa maana akili zenu upinzani mnaZijuwa wenyewe,hata hivyo nitaendelea kuwaelimisha kwa lugha ya staha na heshima na hiyo ndio maana ya kuwa ndani ya chama kiongoziSasa wewe shaka atakupa jukumu la kufatilia mkorogo mpake mmpendeze.
Chawer wa mermer 😁😁😁😁Soma uelewe nilichoandika na siyo kuandika kwa hisia na kunirisha maneno,Hakuna aliyemkubwa kuliko CCM,Pia kuondoka katika nafasi fulani kwa mwanachama wa CCm Kama kiongozi siyo Jambo geni na Wala huwi wa kwanza, pia Nakuomba uaianze kunirisha maneno ya u timu, Mimi Sina timu. Timu yangu Ni CCM na Taifa chini ya uongozi shupavu wa Mwenyekiti na Rais wetu mpendwa mama Samia
Kazi yangu ni kuongea ukweli tu hata Kama Ni mchungu kwa upinzani uchwara na dhaifuChawer wa mermer 😁😁😁😁
Katika siasa za tanzania huyo shaka amefanya nini la maana? Amejaribiwa kidogo kwenye majukwaa kupitia ziara za samia lakini ameboronga mno hajui aseme nini wakati gani na kwa akina nani. Unakumbuka alikuwa anaongea kwa mizuka eti fyatueni mama anajenga madarasa ya kutosha ilibidi samia amkosoe hapohapo?Kazi yangu ni kuongea ukweli tu hata Kama Ni mchungu kwa upinzani uchwara na dhaifu
Kunirisha[emoji735]Soma uelewe nilichoandika na siyo kuandika kwa hisia na kunirisha maneno,Hakuna aliyemkubwa kuliko CCM,Pia kuondoka katika nafasi fulani kwa mwanachama wa CCm Kama kiongozi siyo Jambo geni na Wala huwi wa kwanza, pia Nakuomba uaianze kunirisha maneno ya u timu, Mimi Sina timu. Timu yangu Ni CCM na Taifa chini ya uongozi shupavu wa Mwenyekiti na Rais wetu mpendwa mama Samia
Ndiyo ni futuhiFUTUHI
CCM Ina Ina hadhina ya viongozi na huwa haimpatii mtu nafasi ya uongozi wa Juu kwa majalibio,CCM unaangalia uwezo wa mtu kiuongozi, uwezo wa kutekeleza majukumu yake kiuongozi na kumudu nafasi husika, na wakati wowote unaweza kuhamishwa na kupangiwa majukumu mengine kulingana na mahitaji ya wakati na lengoKatika siasa za tanzania huyo shaka amefanya nini la maana? Amejaribiwa kidogo kwenye majukwaa kupitia ziara za samia lakini ameboronga mno hajui aseme nini wakati gani na kwa akina nani. Unakumbuka alikuwa anaongea kwa mizuka eti fyatueni mama anajenga madarasa ya kutosha ilibidi samia amkosoe hapohapo?
ni muda mwafaka apelekwe akawe RAS huko uvinza
Soma vizuri na ujibu nilicho kuulizaCCM Ina Ina hadhina ya viongozi na huwa haimpatii mtu nafasi ya uongozi wa Juu kwa majalibio,CCM unaangalia uwezo wa mtu kiuongozi, uwezo wa kutekeleza majukumu yake kiuongozi na kumudu nafasi husika, na wakati wowote unaweza kuhamishwa na kupangiwa majukumu mengine kulingana na mahitaji ya wakati na lengo
Sawa Nimepokea ushauri na marekebisho yako Kama mwanadamu ninayejifunza kupitia makosa na kurekebishwa, maana Elimu haina mwisho na kujifunza hakuna mwishoKunirisha[emoji735]
Kunilisha [emoji736]
Sasa kama uandishi rahisi kama huu unakuwa ni janga kubwa kwako halafu ndo unataka utoe ushauri kwa chama na serikali?
Sawa pambania chama uone kitakufikisha wapi...Mimi nipo naendelea na kazi ya kukitetea kukipigania na kukisemea chama changu popote pale nilipo kwa nafasi yangu ya uanachama
Karolite bei gani hapo mombasa?Unajidhalilisha tu kwa majibu yako ,hata hivyo siwezi nikashangaa maana akili zenu upinzani mnaZijuwa wenyewe,hata hivyo nitaendelea kuwaelimisha kwa lugha ya staha na heshima na hiyo ndio maana ya kuwa ndani ya chama kiongozi
Nipo pia katika kilimo naendelea kufaidika na juhudi za serikali ya CCM katika kuwasaidia wakulima kuinuka kiuchumi hasa kwankauli take na matendo yake ya kukifanya kilimo Ni biashara kw kuhakikisha kuwa mkulima ananufaika na jasho lakeSawa pambania chama uone kitakufikisha wapi...
Vijana nawaasa tupambanie maendeleo
Wala usiseme baadhi, sema wengi.Dada zetu wakishapata nafasi baadhi yao ndoa huwa zinakufa!
Afuate nyayo za Ali Hapi katika shughuli za kilimo, na yeye pia arudi zake tu Zanzibar na ajikite katika ufugaji wa mwani. Mambo ya uchawa hayalipi.Ndugu zangu Watanzania,
Kwanza nawapongeza Sana viongozi wote wa chama changu cha CCM waliochaguliwa kuingia kuiunda na kuikamilisha safu ya juu ya uongozi wa chama chetu,Ni safu yenye kuleta matumaini kwetu wanachama,Ni safu ya ushindi,uchapa kazi na uzalendo ,Ni safu iliyojaa viongozi wazalendo, wanaokijuwa chama vizuri, nguli wa siasa za majukwaani na za kisasa.
Ni safu ambayo imewachanganya wapinzani na kuwaacha midomo wazi kwa namna CCM ilivyo na usiri katika mambo yake, maana majina yaliyo tajwa tajwa na yaliyokuja imeonyesha maana ya kuwa chama kiongozi na chama Tawala kilichounda serikali iliyoapa kuilinda na kuipigania nchi hii kwa jasho, machozi na Damu.
Ni safu ambayo inakwenda kukiongoza chama chetu katika mapambano ya kumtetea na kumsemea mtanzania dhidi ya kero zinazomgusa ni safu inayokwenda kufuatilia utekelezaji wa ilani yake namna mwananchi anavyohudumiwa. Namna watendaji serikalini wanavyotoka maofisini na kwenda kukutana na watanzania wanaohitaji huduma, ni safu iliyo na Sura ya Kitaifa na sura ya Muungano wetu adhimu na pendwa.
Katika mabadiliko hayo Ndugu Shaka Hamidu Shaka Ameondoka katika nafasi aliyokuwepo na nafasi yake kuchukuliwa na mama wa Shoka,mama shupavu na Hodari,Mama mwenye kujiamini na asiye babaika, mwenye uzoefu wa kutosha na siasa za nchi hii, aliyepikwa akapikika kiuongozi, Mwenye utulivu na staha za kiuongozi, mwenye kipaji cha kujenga hoja na kupangua hoja kimaridadi na mwenye kurusha makombora ya hoja Kama bomu la Atomic.
Hakika mama huyu Sophia Mjema Anakwenda kuziteka na kuzitawala siasa za nchi hii, wapinzani wanakwenda kuweka mikono mgongoni na kushusha sura zao chini Kama Taa iliyokwisha mafuta.
Wanakwenda kumaliza na hoja za mama huyu,wanakwenda kushindwa kujibu hoja zake na wanakwenda kukata pumzi kabla ya kuingia ulingoni.
Katika kuachwa huko kwa Shaka ,Imani yangu inaniambia kuwa kwa kazi aliyoifanya ndugu Shaka ndani ya muda mfupi, kwa aina ya uwasilishaji wake wa hoja,kwa utulivu wake, kwa uzoefu wake wa siasa za nchi hii,kwa umri wake, upeo wake, kwa uzalendo Wake, kwa Dira na muelekeo wa Uongozi Wa Rais wetu mpendwa na kipenzi cha Watanzania mama Samia suluhu Hassani Namuona ndugu Shaka Akliingia katika majukumu mengine kumsaidia Rais wetu mpendwa katika kuwahudumia Watanzania.
Mwisho nimalizie kusema Tena kuwa hongereni viongozi wangu wote mliopata dhamana za uongozi,Nendeni mkakitetee chama chetu, mkakipiganie, mkakisemee, mkawakumbushe viongozi wa ngazi za chini wajibu wao katika kuwahudumia watanzania kwa kufuatilia utekelezaji wa ilani yetu na kuhakikisha wanapata huduma Bora kulingana na ilani yetu ya chama.
Mimi Lucas Mwashambwa ninaendelea na kazi yangu ya kukitetea chama changu kama nilivyojiapiza kufanya kazi hiyo tangia Mwaka 2005 niliposhawishiwa na mh Jakaya Mrisho Kikwete kujiunga Na CCM, kazi hii ni yetu sote na kila mmoja wetu Ajiulize ataifanyia Nini CCM na siyo CCM itamfanyia Nini, Tushirikiane kwa pamoja kukijenga Chama chetu na Taifa letu kwa ujumla, tuwe wazalendo na Tutangulize mbele Taifa letu.
Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627