Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

Sasa wewe shaka atakupa jukumu la kufatilia mkorogo mpake mmpendeze.
 
Sasa wewe shaka atakupa jukumu la kufatilia mkorogo mpake mmpendeze.
Unajidhalilisha tu kwa majibu yako ,hata hivyo siwezi nikashangaa maana akili zenu upinzani mnaZijuwa wenyewe,hata hivyo nitaendelea kuwaelimisha kwa lugha ya staha na heshima na hiyo ndio maana ya kuwa ndani ya chama kiongozi
 
Chawer wa mermer 😁😁😁😁
 
Kazi yangu ni kuongea ukweli tu hata Kama Ni mchungu kwa upinzani uchwara na dhaifu
Katika siasa za tanzania huyo shaka amefanya nini la maana? Amejaribiwa kidogo kwenye majukwaa kupitia ziara za samia lakini ameboronga mno hajui aseme nini wakati gani na kwa akina nani. Unakumbuka alikuwa anaongea kwa mizuka eti fyatueni mama anajenga madarasa ya kutosha ilibidi samia amkosoe hapohapo?

ni muda mwafaka apelekwe akawe RAS huko uvinza
 
Kunirisha[emoji735]

Kunilisha [emoji736]

Sasa kama uandishi rahisi kama huu unakuwa ni janga kubwa kwako halafu ndo unataka utoe ushauri kwa chama na serikali?
 
CCM Ina Ina hadhina ya viongozi na huwa haimpatii mtu nafasi ya uongozi wa Juu kwa majalibio,CCM unaangalia uwezo wa mtu kiuongozi, uwezo wa kutekeleza majukumu yake kiuongozi na kumudu nafasi husika, na wakati wowote unaweza kuhamishwa na kupangiwa majukumu mengine kulingana na mahitaji ya wakati na lengo
 
Soma vizuri na ujibu nilicho kuuliza
 
Kunirisha[emoji735]

Kunilisha [emoji736]

Sasa kama uandishi rahisi kama huu unakuwa ni janga kubwa kwako halafu ndo unataka utoe ushauri kwa chama na serikali?
Sawa Nimepokea ushauri na marekebisho yako Kama mwanadamu ninayejifunza kupitia makosa na kurekebishwa, maana Elimu haina mwisho na kujifunza hakuna mwisho
 
Mimi nipo naendelea na kazi ya kukitetea kukipigania na kukisemea chama changu popote pale nilipo kwa nafasi yangu ya uanachama
Sawa pambania chama uone kitakufikisha wapi...

Vijana nawaasa tupambanie maendeleo
 
Unajidhalilisha tu kwa majibu yako ,hata hivyo siwezi nikashangaa maana akili zenu upinzani mnaZijuwa wenyewe,hata hivyo nitaendelea kuwaelimisha kwa lugha ya staha na heshima na hiyo ndio maana ya kuwa ndani ya chama kiongozi
Karolite bei gani hapo mombasa?
 
Sawa pambania chama uone kitakufikisha wapi...

Vijana nawaasa tupambanie maendeleo
Nipo pia katika kilimo naendelea kufaidika na juhudi za serikali ya CCM katika kuwasaidia wakulima kuinuka kiuchumi hasa kwankauli take na matendo yake ya kukifanya kilimo Ni biashara kw kuhakikisha kuwa mkulima ananufaika na jasho lake
 
Afuate nyayo za Ali Hapi katika shughuli za kilimo, na yeye pia arudi zake tu Zanzibar na ajikite katika ufugaji wa mwani. Mambo ya uchawa hayalipi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…