Namuona Shaka Hamdu Shaka akienda kumsaidia Rais wetu Samia Serikalini

Nipo pia katika kilimo naendelea kufaidika na juhudi za serikali ya CCM katika kuwasaidia wakulima kuinuka kiuchumi hasa kwankauli take na matendo yake ya kukifanya kilimo Ni biashara kw kuhakikisha kuwa mkulima ananufaika na jasho lake
Hii wadanganye vyawa wenzako
 
ANGEPEWA UWAZIRI MKUU atakuwa MSAADA MKUBWA
Obviously tunacheza na beat,hata ningeteuliwa mimi ungesema mi pia mwanaume wa shoka nimepikwa nikapikika,so sio issue sana mambo ya uchawa,tufanye kazi siasa ni kama bahati nasibu
 
Napendekeza Lucas Mwashambwa ateuliwa kuwa Katibu Mwenezi wa Chawa wa Mama wa Taifa!
 
Wewe ndio umesahaulika pamoja na kijikombakomba.
 
ANGEPEWA UWAZIRI MKUU atakuwa MSAADA MKUBWA
Waziri Mkuu mwanamke wa kwanza anakuja baada ya uchaguzi wa 2025. Mh. Majaliwa miaka 10 inamtosha.

Ingependeza sana angekuwa Mh. Dr. Tulia Ackson, lakini bahati mbaya hana uzoefu wa baraza la mawaziri. Kwa hiyo angalia katika mawaziri wanawake tulio nao sasa hivi, kuna mmoja atakuwa Waziri Mkuu. Hata kama hana jimbo la uchaguzi atatafutiwa jimbo. Kama Dr. Tulia alivyotafutiwa jimbo la uchaguzi ili apewe uspika.
 
Na wewe je? Wamekuona?
 
Kwa mujibu wa KATIBA yetu ya 1977 TAMISEMI sio miongoni Union Matters na ibara ya 55 inasema kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano LAZIMA awe Mbunge wa kuchaguliwa JIMBONI, kwa msingi sioni nafasi ya SHAKA kuteuliwa kwa namna yeyote labda KUMWONDOA MBUNGE wa kuteuliwa ili naye ateuliwe kama ilivyokuwa kwa POLE POLE japo ni KUIVUNJA KATIBA......Mtu akishateuliwa kuwa MP hakuna namna ya kumtoa kama hajajiuzulu au kufukuzwa UANACHAMA........labda Shaka anaweza kuteuliwa sehemu ya pili ya Muungano
 
Itakuwa ni ujinga mkubwa kumpatia yule kijana nafasi serikalini.
 
Unajidhalilisha tu kwa majibu yako ,hata hivyo siwezi nikashangaa maana akili zenu upinzani mnaZijuwa wenyewe,hata hivyo nitaendelea kuwaelimisha kwa lugha ya staha na heshima na hiyo ndio maana ya kuwa ndani ya chama kiongozi
Kwani shaka anatumia mkorogo mkuu au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…