Namwambiaje huyu binti wa miaka 19 kuwa sina malengo nae?

A
Asante kwa ushaur wako bro
 
Jinsi ulivyoweza kukaza juhudi na binti akakukubali, vivyo hivyo kaza juhudi za kutoka kwenye box.
Ukijua pa kuingilia na ujue pia pa kutokea.
 
Mpige matukio tu, atajiondoa mwnyewe
 
Uzuri na wewe utakujaga kuwa na Binti shekhe, ni hayo tu
 
Kama ulimkuta bikira oa mkuu, lakini kama ulimkuta used na hauna ujasiri wa kumtema wewe kata mawasiliano, mpige matukio yeye mwenyewe atajiongeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…