Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

Sijui kwann nyie hamjifunzi

Juz tu apa arusha kuna mwenzako kauwawa na mme wake

Na kuna yule wa Musoma nae aliuwawa na mmewe kisa ujinga wenu huu huu

Umebeba mimba ya mtu mwingne na sio mme wako ww sepa nenda kwenu ukifika kwenu mpigie mwambie mimba sio yake na umruhusu kuachana kwa amani

Sasa usipo mwambia sku si nyingi tutasikia member wa JF kauwawa na mmewe
 
Umeandika kimbeya sana hata haujaeleweka
 

Natamani ungemshauri akusikie lakini sina mawasiliano nae tangu apate stress za huo ujauzito.
 
Nimesoma heading tu ila wewe unaonekana ni mwendawazimu na huna akili timamu.

Ndio dunia, ambacho hupendi kusikia kunawengine wanatamani kuchangua hoja. Uanadamu sio lazima Mambo ambayo yanajulikana tuu, hata kujifunza ustaarabu nao ni uanadamu.
 
Ndio dunia, ambacho hupendi kusikia kunawengine wanatamani kuchangua hoja. Uanadamu sio lazima Mambo ambayo yanajulikana tuu, hata kujifunza ustaarabu nao ni uanadamu.
Kwahiyo wewe ulichoandika hapa ndio ustaarabu? Kupigwa mimba nje ya ndoa wakati umeolewa ndio ustaarabu?

Hivi ulifikiri nilikosea kukuita wewe kua ni mwendawazimu?

Huu uzi wako unawafundisha nini Wasichana wadogo waliomo humu?

Hivi mbona siku hizi JF imevamiwa sana na nyie mapunguani?
 

Hivi ndivyo vijana wengi wamekuwa wakipoteza bahati kwenye maisha yao kwenye njia nyingi sana. Huwezi kuandika dhamira na mafunzo yaliyomo kitabuni kwa kusoma kichwa Cha habari! Ingia kitabuni Soma ndipo utoe comment zako. Emmh ngoja niangalie huwa unaandika madini gani ya dhahabu au ya chumvi! Alafu hivi vitu ninavyovileta humu ndani ndio matokeo yanayoendelea kila siku kwenye jamii zetu. Lakini tazama watu Kama wewe na mchango mlionao!
 
Wewe baada ya kukugundua na ile ID yako uliyokua unajifanya ni KE kumbe ni ME ndio ukaamua kufungua hii ID nyingine,

Ila umesahau kubadili akili,uandishi wako ni ule ule tu na hoja zako/Chai zako ni zile zile tu.
 
% kubwa ndvyo mnavyofanya, akate mawasiliano na mme WA mtu aliekuwa anakula uroda,aliemuoa ndo mtoto awe wake ,akaushe kau .

Akisema mimba syo ya muooji anatimuliwa mchana kweupe vijijini ni very straight cyo kama mjini
 
Hapo inabidi akae kimiya kwa kuwa ashaolewa

Akisema tu anakuwa single mother

Na wanaume sahizi atuhoi siku mothers.
 
Nunua maker pen, karatasi ngumu, maji madogo kabisa na dawa ya panya, andika "mai lovuli swiiti hazibendi, nimetangulia motoni kwenda kumchemshia mtoto aliyemo tumbo mwangu maji ya kuoga, bai switi ila usinifuate kwa kiherehere chako", kunywa mchanganyo weka karatasi kifuani say adios amigo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…