Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

Kitanda hakizai haramu
Siri za chumbani hizo
 
Kwenye ndoa zenu kuna watoto wetu, huu msemo niliuona sehem nikaudhika sana
 
Huyo ni ww kabisa unavunga nini axee
 
Mbona mbunye siku hizi zipo mpaka za buku tu na zingine mistari yako tu unablesiwa kiroho safi!😅
Hapo sitiii neno ngoja waje wa Malindi, Red Stone au Black Diamond acha mimi nikawinde watoto wa Ushirika, MWECAU au Majengo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…