Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

Ni kijiji gani hicho unaoa mke halafu anajifungua wakati wowote kama panya na hawajui kuhesabu? Labda uarabuni huko.
 
Kwanini uchafue mikono yako na wanawake hawajaisha?
Inauma sana, just imagine unamlisha, unamlisha,, inajibana unampa yeye, unawaacha wazazi wako kumudu mahitaji yake nk halafu analombwa na mtu kwa ridhaa yake. Anaikalia, anabinua miguu juu akiichanua, anaweka kichuma mboga, inachomoka anairudishia au kabisa inachomoka anaitia mdomoni. Vaa hivyo viatu
 
Watu wa vijijini wajanja sana watambamba wakati wa kujifungua mpaka utaje jina la baba wa mtoto bila hivyo hatoki so ajiandae kuumbuka
 
Mtihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…