Namwambiaje mume wangu kuwa huu sio ujauzito wake?

Akae kimya!

Usilopoke lopoke hovyo!

Hakuna ktu kibaya kulea mimba iliyolopokewa maneno kibao na mama yake!
Huwa inaleta hasira sana hata kama mtoto kafanana na wewe!
 
Lakini hili jambo sio geni na linatokea sana kwanini wewe ulichukulie kama limekutokea wewe tu na usijiandae kisaikolojia kwamba anything can happen, mtu mmekutana ukubwani sio guarantee atakuwa vile wewe unataka awe..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…