Mulhat Mpunga
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 27,650
- 16,731
HAHAHA HATA MIE NINGEKARABATUI ATIIPicha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.
Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.
View attachment 348618
Unataka nikujibu au? nijibu kwa hoja sio kwa kuniuliza kama najitambua? sioni mantiki ya swali lako, maelezo kuhusu ofisi ya RC sina tatizo nayo sababu sijawahi fika ila picha iliyoambatanishwa sio ofisi ya RC DSM ni ya mkurugenzi wa TCRAMkuu unajitambua kweli?
Tatizo mmezoea kuona makabati ya bati yamejaa mafaili mpaka milango yake haifungi.Vijana wengi wanapenda sana kujikweza ndio tatizo. Ofisi ya serikali sio dhambi kuwa mzuri Bali ilitakiwa iendane na aina ya serikali ziwe sawa na mikoa mingine amepita hadi baadhi ya ofisi za mawazir lakini ndio ujana huo
Ni kweli mkuu unayosema lakini hujajibu swali lake la kuwa nani kagharimia?Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Siyo makabati ya bati tumezoea kuona wagonjwa wakilala chini watoto wetu wakikaa chini madarasani wakitumia vyoo visivyosalama kwa afya zao mashuleni barabara mbovu ambazo hazipitiki Na vingine vingiTatizo mmezoea kuona makabati ya bati yamejaa mafaili mpaka milango yake haifungi.
Swala ni kuwa tuko kwenye kubana matumizi hivyo hoja ya mtoa mada ni kuwa kwa wakati huu labda hilo la kupendezesha ofisi lisingekuwa kipaumbele na anaona kama gharama ya kupendezesha ofisi hiyo itakuwa kubwa ndio akataka kujua nani kalipa ni serikali au mfadhili? Tujikite kwenye hoja ya msingi. Maana anasema hata JPM mwenyewe pale ofisini kwake hajarekebisha toka alipotoka JK. Hayo mengine tuyaache twende kwenye hoja mkuu maana yeye kaanzisha kampeni ya madawati na vyumba vya madarasa labda watu walitegemea angeegemea huko kwani muda mwingi viongozi kama yeye huwa hawakai ofisini wanatakiwa kuwa field. Kumbuka hospitali nako bado vitanda havitoshi lakini pale ofisini kwake kila kitu Sadik alikiacha hivyo hakukuwa na shida sana ya makabati na mapamboHahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Yaani wewe ni wa hovyo kabisaPicha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.
Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.
View attachment 348618
Acha propaganda,yeye mwenyewe,lemutuz,walishapost picha instagramAlafu hizi kampeni chafu dhidi ya viongozi na waajiri wa serikali hazitazaa matunda, HII PICHA YA HII OFFICE NDO PIA ILIWEKWA HAPA JF IKIDAIWA NDO ILIKUWA OFFICE YA JULIET KAIRUKI, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TIC. Sasa sijui wanapokezana kuingia hiyo office!
Sijui tenda ilitangazwa au kila mtu anaokota mafundi,walilipwaje?Niliona FB sikuona shida kwa kuwa japo ofisi imependeza ameonyesha uzalendo kwa kuwaunga mkono wazawa waliojiajiri...
Picha hizi mimi nimeziona thru waliotengeneza hii ofisi...ambao binafsi nawakubali kwani hawana hata gharama kubwa kama angeagiza fenicha za Mchina ambazo wala hazidumu kwanza
Mlango sijaupenda,angeubadilisha na huo pia,au bado uko kwa fundi?Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.