Ile ni thamani ya mali yake au mali ya umma? Kwa mtazamo wa haraka haraka tungepata madawati kama ishirini pengine hata zaidi.Hisia za hovyo kabisa umaskini wa wengine hujui sababu yake sasa kama unajua sababu ya mali zako kwanini usionyeshe thamani yake lakini ziwe halali hao wengine wamechagua kuwa hivyo walivyo na utoe sadaka wasaa ukiwepo.
Unajua mshahara wa mkuu wa mkoa? Watu wanajadili kitu serious wewe unaleta mambo ya ajabu ajabu! Mshahara wa mkuu wa mkoa unaweza kufanya hayo mambo?Ukimjua aliyegharamia halafu wewe itakusaidia nini? Kwa mfano akiamua kutumia sehemu ya mshahara wake kwa ajili ya kununua computer au mapambo kuna shida? Acheni hizo.
UTOTO NDIO UNAKUSUMBUA.Unajua mshahara wa mkuu wa mkoa? Watu wanajadili kitu serious wewe unaleta mambo ya ajabu ajabu! Mshahara wa mkuu wa mkoa unaweza kufanya hayo mambo?
HAHAHAHAutadhani ataishi kwenye hiyo ofisi milele.
Watakaosoma watajua nani anasumbuliwa na utoto!UTOTO NDIO UNAKUSUMBUA.
Ngoja nikatafute bei yake ili niangalie kama hii serikali ni ya kubana matumiziKijana ana dalili zote za kupenda ufahari.........naona ana LEXUS kabisa.....a gas guzzler kwa hisani ya kodi zetu!
![]()
Mlalahoi wa Manzese lazima avue viatu na kujipangusa kabla ya kuingia na kwenye kiti hatokaa! Majority yetu ndio tuko kwenye level hiyo kama kuzidiana ni kidogo.Safi sana, hapo nakubaliana, jamani ofisi lazima ifanane na ujio wa mkuu wa mkoa Kijana ili atumbue majipu vizuri, mkuu wa mkoa sasa tumbua majipu kwa bidii wananchi tunakuunga mkono
Wanao. Understated!Ofisi iko kama club ?hata mo-dewji na manji hawana ufahari kiasi hicho
Interior decorators au manufacturers?Niliona FB sikuona shida kwa kuwa japo ofisi imependeza ameonyesha uzalendo kwa kuwaunga mkono wazawa waliojiajiri...
Picha hizi mimi nimeziona thru waliotengeneza hii ofisi...ambao binafsi nawakubali kwani hawana hata gharama kubwa kama angeagiza fenicha za Mchina ambazo wala hazidumu kwanza
Meck Sadick alikaa chini?! Seriously!Zimetumika kiasi gani?? Na je ulitaka na yeye akae 'chini'??
UPINZANI SIO UJINGA.Una hoja za kitoto Mkuu...jitahidi ukomae kiakili..
Tuliza akili, panua ubongo!! Unajua maana ya ' '??Meck Sadick alikaa chini?! Seriously!
Usiangalie tu bei ya furniture, ulizia interior decorator amelipwaje?Ngoja nikatafute bei yake ili niangalie kama hii serikali ni ya kubana matumizi