babumapunda
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 4,644
- 3,328
mbona hzo picha zilitumwa kuwa ni ofisi ya yule mwanamama aliekataa mshahara wa epz
Ni Hapa Kazi Tu, sio "Hapa Kazi Tu".Nimekuelewa! Ama kweli "Hapa Kazi Tu". Umenoti nimeweka quotation marks?
Sitaki kuwa Sheikh Yahaya, wala sitabiri mabaya, lakini kuna jambo limefichika katika kuwatumia hao mafundi na kwa sababu Mungu hapendi unafiki na kwa kuwa imeandikwa..kila lililofichika litafichuliwa hebu tusubiri...Atasema kuna watu walijitolea kama mafundi garage wa tegeta walivyojitolea kutengeneza madeski na kukarabati magari mabovu yaliyokuwa yameegeshwa muda mrefu...
Hii ni kashfa kubwa kupeleka gari la umma gereji bubu badala ya temesa,sijui kama ana kibali cha temesaAtasema kuna watu walijitolea kama mafundi garage wa tegeta walivyojitolea kutengeneza madeski na kukarabati magari mabovu yaliyokuwa yameegeshwa muda mrefu...
Halafu atawalipaje?wana tenda ya kuyakarabati?AG hatahoji?mkaguzi wa ndani ataruhusu malipo?Sitaki kuwa Sheikh Yahaya, wala sitabiri mabaya, lakini kuna jambo limefichika katika kuwatumia hao mafundi na kwa sababu Mungu hapendi unafiki na kwa kuwa imeandikwa..kila lililofichika litafichuliwa hebu tusubiri...
Nilichoandika nimeandika! Wala sijakosea, endelea kufikiri mkuu!Ni Hapa Kazi Tu, sio "Hapa Kazi Tu".
Asante kwa kutambua hilo, nami nimesema hivyo hivyo nimeambiwa kuwa ni za ofisi ya makonda, sasa basi itakuwa kuna upotoshaji au wanatumia ofisi moja maana haiwezekani kila kitu hadi arrangement zikafanana.mbona hzo picha zilitumwa kuwa ni ofisi ya yule mwanamama aliekataa mshahara wa epz
UUnahangaika sanAsante kwa kutambua hilo, nami nimesema hivyo hivyo nimeambiwa kuwa ni za ofisi ya makonda, sasa basi itakuwa kuna upotoshaji au wanatumia ofisi moja maana haiwezekani kila kitu hadi arrangement zikafanana.
Nikiupata uzi nitaweka link.
Kama hajazidisha matumizi kwenye kasma ya ukarabati wa ofisi ya mkuu wa mkoa si mbaya. Lakini itakuwa pia mbaya kama ametumia fedha nyingi kukarabati ofisi yake tu, wakati ofisi za wasaidizi wake bado duni, vyoo duni. Hiyo itakuwa ni ulimbukeniUfahari kiasi hicho?kwa Tanzania yetu?mbona huu ufahari umezidi?
Kumbe si mimi peke yangu nimeliona hilo, ni kama furniture show room, sababu kule kwenye kona naona kama kuna kochi hivi sijui kwa ajili gani?Interior design ovyo kabisa..ni ofisi au furniture shop? hamna mpangilio na kumejaa kama nini japo hela za maana zitakuwa zimetumika kwenye huo ukarabati.
BONA IKO HIVI????Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.
Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.
View attachment 348618
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Ofisi ya meck Sadick ilikuwa chafu?ilikuwa inatia aibu?ilikuwa na vitu vya zamani? Mkuu be seriousNamuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Alafu utashangaa kuambiwa Bosi wa ofisi hiyo ana nyumba ya milioni mia mbili kule Kibosho.Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Bosi wake alimuhangaisha Sana injinia mmoja aliyefanyia ofisi ukarabati baada ya kuhamishwa kutoka Dar kwenda Mwanza. Ikabidi aende kusoma kumuhepuka waziri wake.Vijana wengi wanapenda sana kujikweza ndio tatizo. Ofisi ya serikali sio dhambi kuwa mzuri Bali ilitakiwa iendane na aina ya serikali ziwe sawa na mikoa mingine amepita hadi baadhi ya ofisi za mawazir lakini ndio ujana huo