babu M
JF-Expert Member
- Mar 4, 2010
- 5,222
- 3,176
Una uhakika na unachosema?Hiyo picha sio ofisi ya RC ni ofisi ya aliyekua mkuu wa TCRA
Tuwekee picha ya ofisi ya mkuu wa mkoa?
Una uhakika na unachosema?Hiyo picha sio ofisi ya RC ni ofisi ya aliyekua mkuu wa TCRA
Hayo malalamiko yako peleka wizara ya afya... Kamtafute Dr Kingwa... atakusikilizaHospital ya sinza Palestinian haina x ray inaenda mwezi sasa....mwananyamala nayo imekuja jana.....wagonjwa woote wanakuwa located at magamen hospital
Kwani kipaumbele ni kukarabati nyumba ya mkuu wa mkoa?Kwani unadhifu ni lazima uhusishe ufujaji?
Ni kipi kilichokuaminisha kuwa kilichotumika kupafanya hapo nadhifu,kimezuia vipaumbele vingine kuzingatiwa?Kwani kipaumbele ni kukarabati nyumba ya mkuu wa mkoa?
Inaonekana wewe ni mkandalasi wa ofisi hiyo, sikuwezi ndugu,Ni kipi kilichokuaminisha kuwa kilichotumika kupafanya hapo nadhifu,kimezuia vipaumbele vingine kuzingatiwa?
Hilo ndio lingekua swali na sio kuanza kulalamikia uzuriwa ofisi ya mkuu wa mkoa, Wabongo tumekua walalamishi wa kila kitu. Angalia usafiri wa mabasi ya mwendo kasi, siku ya kwanza tu watu wamelalamika, hivi kuna jambo gani jipya linaanzaga na lisiwe na changamoto au matatizo?Aweke wazi gharama na mkandarasi aliyehusika,kama ni Tanzania building agency tujue
WKwani kuna ubaya gani kwa ofisi ya mkuu wa mkoa kuwa ya kisasa zaidi? Tuna miradi lukuki na wabia wengi wa kutuletea maendeleo, kuna ubaya kwa wao kutukuta katika hali ya unadhifu? Hata kama tuna maskini wengi, sioni mantiki katika kuushikia bango umasikini na kuutangaza, ukizingatia kuwa tumejizatiti katika kuleta mabadiliko.
Mkandalasi vs mkandarasiInaonekana wewe ni mkandalasi wa ofisi hiyo, sikuwezi ndugu,
Umechinjia shingoni mjombaaa[emoji1] [emoji1] [emoji1] wivu mpaka uwatoke, kijana anajing'arisha kulingana na hadhiHahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Billion 6 za madawati msigwa analalamika, sasa sijui mnataka nini, mkifanyiwa hiki mnabadilika... Hamueleweki yaaanAnakarabati ofisi au kairemba,, mwanaune anapenda urembo wakati watt wanakaa chini hyo pesa angenununua madawati
Sema unataka ajira ukapambe na kupangilia sio kuleta mizunguko kibaooooInterior design ovyo kabisa..ni ofisi au furniture shop? hamna mpangilio na kumejaa kama nini japo hela za maana zitakuwa zimetumika kwenye huo ukarabati.
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Tatizo mmezoea kuona makabati ya bati yamejaa mafaili mpaka milango yake haifungi.
Bilioni 6 mlitokwa povu eti rais anaingilia bunge hizi za ofisi ya RC ndo unataka zinunue madawati? Mbona vigeugeu sana? Hiyo ni pesa kwa ajili ya uboreshaji wa ofisi sio ya madawati na vyoo, umenielewaSiyo makabati ya bati tumezoea kuona wagonjwa wakilala chini watoto wetu wakikaa chini madarasani wakitumia vyoo visivyosalama kwa afya zao mashuleni barabara mbovu ambazo hazipitiki Na vingine vingi
Wivu mbaya sana, ndio uliomwangusha hata ibilisi kule mbinguni, kubali kuwa ofisi hiyo lazima iwe na hadhi jizuie kutokwa povu bila sababu za msingi, hata akitoka yeye watakuja wengine.utadhani ataishi kwenye hiyo ofisi milele.
Lini jpm alisema kuwa hajapamba ofisi yake tangu atoke jk? Uthibitisho tafadhali ili tuepuke mihemkoSwala ni kuwa tuko kwenye kubana matumizi hivyo hoja ya mtoa mada ni kuwa kwa wakati huu labda hilo la kupendezesha ofisi lisingekuwa kipaumbele na anaona kama gharama ya kupendezesha ofisi hiyo itakuwa kubwa ndio akataka kujua nani kalipa ni serikali au mfadhili? Tujikite kwenye hoja ya msingi. Maana anasema hata JPM mwenyewe pale ofisini kwake hajarekebisha toka alipotoka JK. Hayo mengine tuyaache twende kwenye hoja mkuu maana yeye kaanzisha kampeni ya madawati na vyumba vya madarasa labda watu walitegemea angeegemea huko kwani muda mwingi viongozi kama yeye huwa hawakai ofisini wanatakiwa kuwa field. Kumbuka hospitali nako bado vitanda havitoshi lakini pale ofisini kwake kila kitu Sadik alikiacha hivyo hakukuwa na shida sana ya makabati na mapambo