Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Interior design ovyo kabisa..ni ofisi au furniture shop? hamna mpangilio na kumejaa kama nini japo hela za maana zitakuwa zimetumika kwenye huo ukarabati.

Mkuu nakubaliana na wewe....huyo interior designer namjua....kampuni yake inaitwa quality home...kweli gharama Kubwa imetumika katika huo ukarabati ila hata mm sikupendezwa na mpangilio...ila mh huwa kama ana kaushambaushamba fulani hv kwa hyo siwezi kushangaa sana...hata huyo interior designer naye mshambamshamba tu nimfaamuvyo...
 
Gharama kubwa...aisee
 
Upangaji umekaa hovyo kabisa vitaa tu na hiyo apple ndo vinaleta at least exposure.
 
Vijana wengi wanapenda sana kujikweza ndio tatizo. Ofisi ya serikali sio dhambi kuwa mzuri Bali ilitakiwa iendane na aina ya serikali ziwe sawa na mikoa mingine amepita hadi baadhi ya ofisi za mawazir lakini ndio ujana huo
Kweli mkuu,nchi yeti bado maskini
 
Mkuu nakubaliana na wewe....huyo interior designer namjua....kampuni yake inaitwa quality home...kweli gharama Kubwa imetumika katika huo ukarabati ila hata mm sikupendezwa na mpangilio...ila mh huwa kama ana kaushambaushamba fulani hv kwa hyo siwezi kushangaa sana...hata huyo interior designer naye mshambamshamba tu nimfaamuvyo...

AAh kumbe, simfahamu huyo jamaa ila ushamba ni mzigo Kiongozi. Hiyo ofisi imejaa vitu vingi. Iko busy mno.
 
Dah..... Ila nyumbu ni nyumbu tu jamani tuseme ukweli
 
Hiyo ofisi akimaliza muda wake kwani anaibeba mgongoni anaondoka nayo? si inabaki kwa kiongozi anayefuata.. Tuangalie utendaji wa hawa viongozi sio kuangalia kaweka laptop ya aina gani au ofisi nzuri kiasi gani. Kama matumizi mabaya ya fedha wapo waliochukua bilioni wakasema wamenunua mboga si angalau huyo kaboresha ofisi ya umma.
 
Ufahari kiasi hicho?kwa Tanzania yetu?mbona huu ufahari umezidi?
Kilichozidi ni nini hapo mkuu. Japo wanasema sio ya RC ila ningetamani ya RC ingekua kama hii.

Pesa inayotengwa kwa ukarabati wa ofis za wakuu wa mikoa huwezi kushangaa kuona ofis kama hiyo tena pengine iwe zaidi ya hiyo, tatzo uadilifu wa pesa hizo hukosekana.
 
WAhamisha magoli bana; sasa ni kitu gani cha kifahari humo? taa, zuria? meza, apple computer? Sasa kama hii ofisi ni ya kifahari hii hapa utaiita vipi?

Superyacht%20PRIDE%20-%20%20Master%20Cabin%20Office.jpg
 
Pamoja nakutompenda huyu jamaa na serikali yake sioni ubaya mtu kukarabati ofisi ikawa na mandari mazuri,mi sioni ufahari wowote hapo,kuna vitu vya msingi vya kukosoa jamani,hivi nani hapendi kufanya kazi katika mazingiria mazuri,kama ni suala la kubana matumizi tungevalia njuga ishu ya mwenge,maana hauna faida yoyote,hizo mac sidhani kama zinazidi mil 5 istore ingawa sina uhakika sana,na pia akiondoka,h yo ofisi haondoki nayo.Hyo ikulu unayoiongelea nayo pia inahitaji renovation maaana muonekano wake ni wa mwaka 80.
 
Kama pesa ni yake binafsi haina shida kwani nadhani hakuna sheria inayokataza mtumishi wa umma kuiweka ofisi yake katika hali nzuri. Lkn km pesa ni ya umma basi kutakuwa na tatizo la kuamua kusahau vipaumbele. Wanafunzi wengi wa shule za msingi hawana hata kigoda cha kukalia na wanalazimika kukaa chini. Wagonjwa wanalala chini na miji ni mchafu kwa kukosa tu magari ya kuzoa taka. Katika mazingira kama hayo hakuna mtu wa kawaida atakaye mwelewa yeyote apendaye ufahari kwa kutumia pesa za umma.
 
Complains without statistics (accurate information)... Ndo tabia ya watanzania wengi,,, swali la msingi "unajua zimetumika sh ngapi kufanya huo ukarabati?" ulitaka ofisi iweje labda?
 
Back
Top Bottom