Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Jaman makonda ni kiongoz kijana,hivyo kufanya mambo kama yale ni kawaida tu
Af lazma mjue kua makonda haishi na wanyama anaishi na watu tena watu wenye hela zao ana kampan ya kutosha ya marafiki waamnifu wanaoweza kumpa sapoti ndogo kama hizo , iv kwa mfano wale jamaa wa gsm au wcb au clouds wakiamua kumnunulia aple moja kwq ajili ya ofic unafikir watashindwa nn? So sio muda wote watu wakifanya vitu vizuri wanakua wameiba au wamehongwa la hasha sometimes ni how u accommodate others na ndivyo wanavyo kuaccomodate lkn pia jamaa anaeza amua kutumia mshahara wake akatengeneza pale.. aghh tusiwe na akili za kimaskin hiv znatufanya tusiendelee na mwishowe trump aje atutawale tena[emoji53][emoji53]
 
WAhamisha magoli bana; sasa ni kitu gani cha kifahari humo? taa, zuria? meza, apple computer? Sasa kama hii ofisi ni ya kifahari hii hapa utaiita vipi?

Superyacht%20PRIDE%20-%20%20Master%20Cabin%20Office.jpg
ufahari unapimwa kwa ulinganifu wa sehemu husika na takwimu au idadi kubwa.

Ofisi za serikali, zilizo nyingi ukilinganisha na ya makonda hiyo;utafahamu.
 
Tatzo ni nini..!? Watu bwana wanataka kila kitu wapekenyuee..huo ni aina ya umbea..FANYENI KAZI Acheni tabia za ajabu nyie..
 
Sioni ubaya wa kufanya hivyo kwa sehemu amabayo unatumia muda wako mwingi kwa siku kuwepo kuifanya iwe ya kukupendeza nafsi yako na kukupa ari ya kufanya kazi zako vizuri
 
Km mtu anapenda kazi yake basi na kitu chake lazima akipende, acheni wivu
 
Yaani kama asingebadili muonekano wa ofisi kuendana na umri wake...basi ningemdharau. Tatizo watumishi wa Umma wamezoea ofisi zilizochakaa...ukienda kwa Waziri ndiko kuna afueni. Wengine hadi mende wanazunguka kwenye makabati.

Floor zina mashimo. Chumba kina AC lakini harufu haishikiki. Kwa nini? Kazini kunapaswa kuwe sehemu ambayo akili, roho na mwili vinapata furaha kuwepo na si sehemu ya mateso.

Makonda akiweza afanye iwe na hadhi hata ya nyota tano alimradi matumizi ya fedha za ukarabati na maboresho ziwe halali toka kwenye bajeti husika. Sioni shida.

Kwa hili namuunga mkono. Inapendeza sana. Big up.
 
Back
Top Bottom