Mkuu Philipo, ni kweli Dar ni jiji kubwa kuliko majiji yote Tanzania hata kama hoja hapa haihusu, kwa vyovyote vile jiji, bali ni gharama za ukarabati wa ofisi ya mkuu wa mkoa. Ungeweza kumwondoa Makonda katika hili kwa kuonyesha kama fedha hizo zimetoka wapi. Kusema tu kuwa Dar ni jiji kubwa hivyo ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar inahitaji kuwa na mwonekano wa mwaka 1984 bila kujali ukarabati wa ofisi hiyo ya serikali umefanywa na nani, ni kutojitendea haki mwenyewe na pia ni kutoitendea haki serikali!Hizi ndizo fikra zisizobadilika. Dar ni jiji kubwa kuliko majiji yote Tanzania halafu ofisi ya mkuu wa mkoa ibakie kuwa kama ilivyokuwa mwaka 1984!!.
Makonda kaza uzi, unalolifanya ni jema, hizi kelele za chura haziwezi kumsumbua tembo asinywe maji.
Hata mie nilifikiri ni show room.Huwezi kuweka ofisi namna hiyo.Hata BaloI wa USA ofisi yake haiko hivyo.Interior design ovyo kabisa..ni ofisi au furniture shop? hamna mpangilio na kumejaa kama nini japo hela za maana zitakuwa zimetumika kwenye huo ukarabati.
Mkuu haki ya kusema fedha imetoka wapi ni ya Makonda mwenyewe. Lakini kumbuka ukubwa wa jiji hili na vyanzo vyake vingi vya mapato.Mkuu Philipo, ni kweli Dar ni jiji kubwa kuliko majiji yote Tanzania hata kama hoja hapa haihusu, kwa vyovyote vile jiji, bali ni gharama za ukarabati wa ofisi ya mkuu wa mkoa. Ungeweza kumwondoa Makonda katika hili kwa kuonyesha kama fedha hizo zimetoka wapi. Kusema tu kuwa Dar ni jiji kubwa hivyo ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar inahitaji kuwa na mwonekano wa mwaka 1984 bila kujali ukarabati wa ofisi hiyo ya serikali umefanywa na nani, ni kutojitendea haki mwenyewe na pia ni kutoitendea haki serikali!
Kwan umeambiwa mleta mada ni mfuasi wa CDM?Ndio maana Mbowe hataki hata kujenga jengo lenye hadhi inayoendana na chadema, maana kama wafuasi wake ndio hawa anajua hakuna wa kumhoji.
Sawa. Kumbe kama unajua Makonda alipaswa aseme fedha zilizotumika kukarabati ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam zilitoka wapi, wewe unapata wapi ujasiri wa kushangilia ukarabati huo na kumtaka Makonda "akaze uzi" huku ukitambua kuwa kuna "maneno maneno" yamezingira gharama za ukarabati huo? Pili, Makonda amewahukumu akina Wema na wenzao, ni vipi unalalamika Musukuma "anapomhukumu" Makonda? Tatu, hivi kama kuna tuhuma au maneno maneno yanasemwa juu ya gharama za ukarabati wa ofisi ya RC; wananchi, akiwemo Musukuma ndio waende ofisi ya RC kuulizia au ofisi yenyewe itoe ufafanuzi?Mkuu haki ya kusema fedha imetoka wapi ni ya Makonda mwenyewe. Lakini kumbuka ukubwa wa jiji hili na vyanzo vyake vingi vya mapato.
Na sio vizuri kuhukumu kabla mtu anayehoji juu ya ni wapi fedha zimepatikana, hajafanya juhudi ya kuwasiliana na ofisi ya mkuu wa mkoa, ili aweze kupewa taarifa sahihi.
Habari ya mujini
Mkuu vita ya madawa ya kulevya ni muhimu kuliko gharama za ofisi ya mkuu wa mkoa.Sawa. Kumbe kama unajua Makonda alipaswa aseme fedha zilizotumika kukarabati ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam zilitoka wapi, wewe unapata wapi ujasiri wa kushangilia ukarabati huo na kumtaka Makonda "akaze uzi" huku ukitambua kuwa kuna "maneno maneno" yamezingira gharama za ukarabati huo? Pili, Makonda amewahukumu akina Wema na wenzao, ni vipi unalalamika Musukuma "anapomhukumu" Makonda? Tatu, hivi kama kuna tuhuma au maneno maneno yanasemwa juu ya gharama za ukarabati wa ofisi ya RC; wananchi, akiwemo Musukuma ndio waende ofisi ya RC kuulizia au ofisi yenyewe itoe ufafanuzi?
Huyo musukuma si ndio yule aliyesemaz kilimo cha bangi kihalalishwe?. Wale wale wanasiasa wa mwendo kasi, akiongea maneno matano ya maana ni mawili kama sio moja tu.Sawa. Kumbe kama unajua Makonda alipaswa aseme fedha zilizotumika kukarabati ofisi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam zilitoka wapi, wewe unapata wapi ujasiri wa kushangilia ukarabati huo na kumtaka Makonda "akaze uzi" huku ukitambua kuwa kuna "maneno maneno" yamezingira gharama za ukarabati huo? Pili, Makonda amewahukumu akina Wema na wenzao, ni vipi unalalamika Musukuma "anapomhukumu" Makonda? Tatu, hivi kama kuna tuhuma au maneno maneno yanasemwa juu ya gharama za ukarabati wa ofisi ya RC; wananchi, akiwemo Musukuma ndio waende ofisi ya RC kuulizia au ofisi yenyewe itoe ufafanuzi?
Yote kheri. Hata wanangu nawaambia wasimwage chakula wengine wanashinda na njaa, wanakuwa Kama hawanielewi. Personally kuonyesha obvious wealth wakati wengine ni maskini, I find offensive. Hizi ni hisia zangu binafsi.
Mkoa unakuwa na watu muhimu kama wakina Mfano Reginald Mengi, Manji na wengineo. Sasa wale wanaojipendekeza kwa mkuu wa mkoa wanafanya maboresho hayo. Na aimaanishi kwamba umeingia mkataba na serikali. Iyo inakuwa ni kama mtu anajiwekea Goodwill Kibiashara, hata kama tenda ikipatikana anafatwa yeye. Dar es salaam ni mkoa mkubwa wenye washka dau wengi katika suala la maendeleo wanajitolea na aimaanishi, kwamba kama umejitolea kwamba umepata Tiketi ya kufanyia biashara haramusawa hiyo ni pesa ndogo,swali je anatoa ufukoni kwake au serikali ndio inatoa hizo fedha?na hiyo ni kwa mkuu wa mkoa wa DAR au mikoa yote ya TANZANIA?
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.
Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.picha zaidi za ukarabati huu ziko instagram page ya. QUALITY HOMES
View attachment 348618
......Sijui tenda ilitangazwa au kila mtu anaokota mafundi,walilipwaje?