Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Nani aligharamia ukarabati wa kifahari wa ofisi ya Mkuu wa mkoa DSM?

Kwani computer [emoji335] za Apple [emoji519] za desktop zinauzwaje. Moja imezidi sana 1.5 milioni kama zipo 20. Ni milioni 30. Mbona pesa za kawaida sana acheni wivu wa kike. Unafikiri kuwa mkuu wa mkoa ni kazi ya kitoto, kuna pesa ya ofisi na marupu rupu mengi tuu. Wengineo wakipewa wanafanya tofauti. Na hata kama ulijipendekeza na pesa zako za Madawa ukamnunulia imekula kwao anawataja kama kawaida
Dah computer ya Apple 1.5m labda ulienda ukamuacha na mkeo
 
Mkoa unakuwa na watu muhimu kama wakina Mfano Reginald Mengi, Manji na wengineo. Sasa wale wanaojipendekeza kwa mkuu wa mkoa wanafanya maboresho hayo. Na aimaanishi kwamba umeingia mkataba na serikali. Iyo inakuwa ni kama mtu anajiwekea Goodwill Kibiashara, hata kama tenda ikipatikana anafatwa yeye. Dar es salaam ni mkoa mkubwa wenye washka dau wengi katika suala la maendeleo wanajitolea na aimaanishi, kwamba kama umejitolea kwamba umepata Tiketi ya kufanyia biashara haramu
mmmh!smells fishy,yaani unamaana hawa wafanyabiashara wanatoa misaada kwa kujipendekeza ili wapate tenda?niishie hapo.
 
Wakuu wa mikoa wote walitangaza vita ya madawa ya kulevya?
Samahani lakini,hilo lilikuwa jibu kwa mtu lakini kama umeona ni mpaka wakuu wa mikoa wengine watangaze vita ya madawa ya kulevya ndio ofisi zao zikarabatiwe ni sawa pia kwa mtazamo wako na hakuna wa kukushikia panga,ili iweje kwanza?
 
mimi naona tumwache bro afanye kazi yake tu,mbona kabla ya kubana ivo watu walikuwa hawayasemi haya,bro Makonda mimi naona upige kazi vile unaweza,maneno yapo tu, watu hawaishiwi
 
Watshindana na Makonda LAKINI WATASHINDWA WAO
 
Kwani kabla ya makonda wakuu wa mikoa wengine waliomtangua hawakuwa wanapewa bajeti ya ukarabati wa ofisi ya mkuu wa mkoa wa dar es salaam usipende kupindisha ukweli wa swali na jibu ....mtoa mada kasema wapi makonda alipata pesa ya ukarabati wa ofisi yake ambao kwa kwa muonekano wake unaonesha ni wa kifahari sana ....it means waliomtangulia waoikuwa wanapenda kuona mazingira machafu ya ofisi wanakofanyia kazi lakini yeye makonda kutokana na umri wake basi akawa anastahili kufanya ofisi iwe ya kifahari coz waliomtangulia wanapenda kuwa wachafu kutokana na umri wao??? Jitambua uchafu hauna umri
 
Tunaacha kujadili mambo ya msingi tunajadili ofisi ya Mkuu wa Mkoa!! Ofisi ikiwa mbaya na chafu, kosa!! Ofisi ikiwa nzuri na safi, kosa!! Kweli unahitajika moyo wa mwendawazimu kumridhisha mswahili.
 
Tunaacha kujadili mambo ya msingi tunajadili ofisi ya Mkuu wa Mkoa!! Ofisi ikiwa mbaya na chafu, kosa!! Ofisi ikiwa nzuri na safi, kosa!! Kweli unahitajika moyo wa mwendawazimu kumridhisha mswahili.
Ufahari wenyewe ni hivyo kutumia Imac yenye thamani ya zaidi ya
1000usd wakati yeye hapo anachapa barua tu ndo kazi yake .Hizo Imac za nini kama si mbwembwe?
 
Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.

Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.

Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.picha zaidi za ukarabati huu ziko instagram page ya. QUALITY HOMES

View attachment 348618
Huu ni aina nyingine ya wivu wa kike! Ukielewa nachosema utajua kwa nini nasema ivi? Huwezi kua na fikra mbovu kama hizi kwa kukarabati ofisi hakuna kijana anaeweza kukaa kwenye ofisi chafu. Wazee wengi hawawezi tengeneza sehemu wanayofanyia kazi kwa kua tu wanajua hawana mda mrefu kuzifanyia kazi na ndo maana siku zote zina mtizamo ule ule wa kizamani hebu tubadilike ukiwaza kimaskini utabaki ivyo milele
 
Mazingira mazuri sehemu za kazi ni muhimu kwa ufanisi, mm sioni tatizo kung'arisha office ya Serikali mradi ni fungu kwa ajili ya kazi hio, sio lazima ofisi za Serikali ziwe kama kituo cha polisi Buguruni
 
Huu ni aina nyingine ya wivu wa kike! Ukielewa nachosema utajua kwa nini nasema ivi? Huwezi kua na fikra mbovu kama hizi kwa kukarabati ofisi hakuna kijana anaeweza kukaa kwenye ofisi chafu. Wazee wengi hawawezi tengeneza sehemu wanayofanyia kazi kwa kua tu wanajua hawana mda mrefu kuzifanyia kazi na ndo maana siku zote zina mtizamo ule ule wa kizamani hebu tubadilike ukiwaza kimaskini utabaki ivyo milele
Utaelewa kusoma tu hata kama huangalii ubaoni
 
Mkuu vita ya madawa ya kulevya ni muhimu kuliko gharama za ofisi ya mkuu wa mkoa.

Gharama za kupoteza akili ya kijana mmoja kwa sababu ya madawa ya kulevya ni kubwa kulinganisha na hizo furniture za ofisini kwa Makonda.

Yaliyo muhimu kwa maisha yetu hatuyaoni kuwa ni muhimu ila upuuzi ndio unaopewa nafasi ya vichwa vya habari vinavyoandikwa kwa maandishi makubwa.

Aliyeturoga hajafa labda kazi yetu kubwa ni kumtafuta popote alipo ili tusiendelee kupotea njia.
Lakini unapaswa ufahamu pia kwamba hoja ya Musukuma dhidi ya Makonda inaenda umbali mrefu zaidi, Musukuma anamtuhumu Makonda kuwa "mshirika" wa wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, na anataka achunguzwe katika mwelekeo huo, na ndio maana unasikia kuna kelele zinapigwa kwamba kinachofanywa na Makonda hakitafsiri vita halisi dhidi ya madawa ya kulevya kwa kuwa anashughulika zaidi na wanaopaswa kupelekwa rehab-na kama unafuatilia zipo kelele pia zinadai kukamatwa kwa akina Wema na Petit ni masuala binafsi zaidi kuliko tunavyoonyeshwa nje. Sio lazima

Sasa katika mazingira kama hayo utapuuzaje hoja ya Musukuma kwa kuwa tu aliwahi kudai bangi ihalalishwe, bila kufafanua pia kwa upana wake ni nini kulimsukuma Musukuma kuibuka na hilo la bangi. kuokota maneno mawili tu katika hoja nzima ya mtoa hoja huweza pia ku-distort hoja nzima! Kwahiyo, kwa wanaofikiri sawa sawa hawawezi kupuuza kelele za Makonda dhidi ya "watumiaji wa madawa ya kulevya",lakini pia hawawezi kupuuza tuhuma za Musukuma dhidi ya Makonda kwa kuwa pengine, kama ikibainika ni ukweli, hoja ya Musukuma inaweza kuwa na faida zaidi kuliko kelele za Makonda! Na mwisho wa siku wewe unayemshangilia Makonda na kumpuuzilia mbali Musukuma ukaonekana ndiye uliyerogwa!

Ni bahati nzuri dalili za kwamba wewe tayari umeathirika na "kulogwa huko" zipo wazi, maana kwa tafsiri yako "hakuna tatizo hata kama ofisi ya mkuu wa mkoa imekarabatiwa na watuhumiwa wakubwa wa kuingiza na kusambaza madawa ya kulevya", bali tatizo ni Chid benz na Wema kubwia unga na kuvuta bangi", na tena kwamba "umelogwa" iko wazi unapojidhihirisha kuwa mtu unayedhani kuwa kiongozi wa aina ya Makonda, ambaye amethubutu kumtaja Chid benz kuwa ni mbwia unga, basi yeye ni msafi na hana doa! Kalagabhaho!
 
Hahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
Jibu tihuma za makonda kumiliki majumba ya kifahari, viwanja kibao na Mali nyinginezo ndani ya miaka miwili. Pia Nani aligharamia safari yake marekani, Dubai na Paris kwa pamoja tena safari iliyotawaliwa na anasa.
 
Back
Top Bottom