Alipata wapi fedha huku akipiga kelele watu wachangie madawati? Hivi ile ofisi ya spika kule urambo inatumika kwa shughuli gani?Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.
Hizo zako ni fikra za kibinafsi zijazo kwa kubeza matatizo ya wengine ambayo wangeweza tatuliwa kwa hicho ukiitacho kidogo. Ndio maana nimeandika kuwa km pesa ni yake haina shida lkn kama ni ya umma lazima tuwe na priorities. Unaongelea mil tano km hela ndogo, kwa dawati moja la shs 50,000 yangechongwa mangapi? Na watoto wangapi wangepata nafasi ya angalau kukaa na kusoma vizuri? Nadhani ni muda wa kubadili mtazamo na kutomfikiria mwenye mwono tofauti na wewe hatumii statistics au research.Complains without statistics (accurate information)... Ndo tabia ya watanzania wengi,,, swali la msingi "unajua zimetumika sh ngapi kufanya huo ukarabati?" ulitaka ofisi iweje labda?
Instagram photo by Designer, Furniture, Decor • May 6, 2016 at 4:36pm UTCHuko quality home hakuna hizo picha iparamasa labda unatangaza biashara yenu!!.
sasa ofisi ya umma inatakiwa iweje; chafu, haina taa, ina mkeka chini, na vibatari?Umekwisha wewe huna hoja,hiyo ofisi ya umma sio ya pop star
Mkuuu upo? Changia vizuri bila mhemkoAlafu hizi kampeni chafu dhidi ya viongozi na waajiriwa wa serikali hazitazaa matunda, HII PICHA YA HII OFFICE NDO PIA ILIWEKWA HAPA JF IKIDAIWA NDO ILIKUWA OFFICE YA JULIET KAIRUKI, aliyekuwa mkurugenzi mkuu wa TIC. Sasa sijui wanapokezana kuingia hiyo office!
Mheshiwa Rais Magufuli pitia huku tusafishe mchwa labda kama ni kwa msaada wa marekaniPicha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.
Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.picha zaidi za ukarabati huu ziko instagram page ya. QUALITY HOMES
View attachment 348618
Hahahaaa no moja police wallah ... ngoja nikae kimya lakini mmhh.Namuunga mkono Makonda kunadorisha office...office nyingi za umma zinatia aibu chafu na kila kitu cha kizamani...hazina hata motisha wa kufanyia kazi humo
.