Nifahamishe chini low au chini kitu gani?Tuliza akili, panua ubongo!! Unajua maana ya ' '??
Nimeandika 'chini', sio chini!! Usiwe mvivu wa kifikiri.
poor thinking capacityHahahahahaaaaa. Yaani mmemtafuta Makonda mmemkosa. Sasa mnaanza kuwa na wivu na ofisi yake. Imewauma sana kuona Ofisi yake inakuwa na hadhi nzuri kuliko Ofisi ya Mwenyekiti wa CHADEMA Mtaa wa Ufipa licha ya kupokea mamilioni ya fedha za ruzuku
zipo wapi picha za ofisi wakati wa bwana Said Meck Sadick ili tufanye ulinganifu???Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.
Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.
View attachment 348618
Ngoja nikatafute bei yake ili niangalie kama hii serikali ni ya kubana matumizi
Yeah Mura Itamsaidia nn Ufatiliaji Sana WA mambo ya watu kwa undani bila sababu rasmi Ni Dalili Tosha za Uchawi.Ukimjua aliyegharamia halafu wewe itakusaidia nini? Kwa mfano akiamua kutumia sehemu ya mshahara wake kwa ajili ya kununua computer au mapambo kuna shida? Acheni hizo.
mkuu, pia inawezekana huyu jamaa ameokota picha kwengine akaja kubandika tu hapa.Hiyo picha sio ofisi ya RC ni ofisi ya aliyekua mkuu wa TCRA
Niloposema unataka akae 'chini', sijamaanisha chini sakafuni, ndo maana nimeweka QUOTATION MARKS, nilichomaanisha ni ulitaka akae ofisi isiyo na ubora?Nifahamishe chini low au chini kitu gani?
zipo wapi picha za ofisi wakati wa bwana Said Meck Sadick ili tufanye ulinganifu???
Watu wa JF mna mambo!!Hahahaa
asante kaka
Matumiz mabaya ya pesa
Hawa ni both...wanatengeneza furniture na kufanya arrangements...wako cheap sana...Interior decorators au manufacturers?
Nimekuelewa! Ama kweli "Hapa Kazi Tu". Umenoti nimeweka quotation marks?Niloposema unataka akae 'chini', sijamaanisha chini sakafuni, ndo maana nimeweka QUOTATION MARKS, nilichomaanisha ni ulitaka akae ofisi isiyo na ubora?
Hapo je!! Hiyo ndo ilikuwa tafsiri yangu ya kuweka neno chini hivi 'chini'.
Wanabana matumizi kwa wanyonge!Picha zimekuwa zikisambaa kwenye mitandao kuonyesha ufahari wa hali ya juu wa ofisi ya Mkuu wa mkoa wa dar es salaam.
Ofisi hiyo imekuwa tofauti kabisa na ile ya Mkuu wa mkoa aliyepita bwana Sadick, ofisi ya Makonda ina kompyuta kadhaa za apple,mapambo mengi ya kila aina yanayoashiria ufahari na utukufu wa hali ya juu kuliko hata ofisi ya rais.
Nani aligharamia ufahari huu wakati hata ikulu haijabadili muonekano? Kulikuwa na umuhimu wa kuweka ufahari huo katika kipindi hiki cha kubana matumizi?
Nini kilipungua katika ofisi ya aliyekuwa Mkuu wa mkoa mpaka ufahari uongezwe katika jiji ambalo limezungukwa na wananchi wenye hali ngumu na maisha yasiyoridhisha.
View attachment 348618
mimi niliona kwenye hiyo facebook page picha za before and after...labda wazitoe maana imeshakuwa nuksi sasa...waliweka picha nyingi tu na nzuri kuliko hiyo alochagua huyu mleta madazipo wapi picha za ofisi wakati wa bwana Said Meck Sadick ili tufanye ulinganifu???