Nani alipambana na CHADEMA akashinda? Huyu nae akiendelea, hafiki mbali na anaeweza kwenda na kuiacha CHADEMA iko imara

Mbona Lowassa kawahujumu na bado yupo? Lijuakali, Mashinji, Mwambe, nk
Hao wamepeleka njaa zao tu hakuna mwenye uwezo wa kuihujumu Chadema,aliyekuwa na uwezo na kujaribu kufanya hivyo yuko motoni sasa hivi anaokwa kama ndafu
 
Sema vinalinda ccm na sio nchi
 
Chanjo utachanja?? Sukuma gang mmepiga kelele weee leo mama kapigilia msumari
Kwa hiari kumbuka hilo...gaidi alitaka kukomalia iwe kidikteta mwisho wa siku kakandamizwa yeye na chanjo ya ugaidi
 
Eti mpango wa Mungu, labda kama ni mpango wa mguu. Acheni kumdhihaki Mungu. Mungu hawezi kutumia wafadhili wa ugaidi na wangese ili kuwakomboa watakatifu wake. Zama zile ambazo Mungu alijifanya hazioni zimeshapita, sasa hivi zama za Agano Jipya.
 
Hizo ramuli za kitoto tu, ngoja dawa iwaingie, maana mlitaka kumuletea mama zarau, ngoja awanyoshe vizuri
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Mwana saccos hapa umefurahisha maini tu. Hilo genge la magaidi lini liliwahi kuwa imara?.
 
Hizo ramuli za kitoto tu, ngoja dawa iwaingie, maana mlitaka kumuletea mama zarau, ngoja awanyoshe vizuri
Wewe mhutu nyie ndiyo mnaunda Sukuma Gang kumhujumu Rais,mnajifanya Wasukuma kumbe ni wahamiaji haramu toka Burundi.
 
Na kwa tozo hizi za dhuluma tusijeanza kutunga Nyimbo upya
 
Mnajipa moyo tu chadema chama gani kimeishiwa nguvu kabisa. Chama ni kukubalika na wapiga kura. Chadema mbunge mmoja tu wakuchaguliwa nguvu gani mnayo? Saa hizi ni kama mende tu. Ukimkanyaga kichwa bado anafurukuta. Ruzuku hampewi mnafurukuta kwa kupewa hela na mabeberu wanaohangaika kuwaingiza madarakani ili muwakabidhi uchumi wa nchi yetu.
 
Hivi serikali inapambana na chadema ama chadema wanapambana na serikali?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…