SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Kwani nasema uongo ndugu zangu? Mfano hai upoWacha we
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani nasema uongo ndugu zangu? Mfano hai upoWacha we
Hao wamepeleka njaa zao tu hakuna mwenye uwezo wa kuihujumu Chadema,aliyekuwa na uwezo na kujaribu kufanya hivyo yuko motoni sasa hivi anaokwa kama ndafuMbona Lowassa kawahujumu na bado yupo? Lijuakali, Mashinji, Mwambe, nk
Sema vinalinda ccm na sio nchiunapaswa ujue kuwa Vyombo vya ulinzi na usalama vina pambana na vitaendelea kupambana na vitendo vyote vya Uvunjifu wa Amani na Usalama wa Taifa letu.
kamwe! hatovumilwa mtu yeyote yule atakaye jaribu kupanga, kufanikisha au kutenda vitendo vya uvunjifu wa Amani na Usalama wa nchi yetu.
Amani na Usalama wa nchi yetu ni muhimu zaidi kuliko chadema.
Chama hai kipo.......unamtumainia bwana wa majeshi aishie ama unamtumainia mfalme njoziKwani nasema uongo ndugu zangu? Mfano hai upo
Kwa hiari kumbuka hilo...gaidi alitaka kukomalia iwe kidikteta mwisho wa siku kakandamizwa yeye na chanjo ya ugaidiChanjo utachanja?? Sukuma gang mmepiga kelele weee leo mama kapigilia msumari
Hizo ramuli za kitoto tu, ngoja dawa iwaingie, maana mlitaka kumuletea mama zarau, ngoja awanyoshe vizuriNaomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kaja mwingine ambae nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote, bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama wote wameangukia pua.
Tusubiri na hatima ya huyu wa sasa.
😀 😀 😀 Mwana saccos hapa umefurahisha maini tu. Hilo genge la magaidi lini liliwahi kuwa imara?.Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kaja mwingine ambae nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote, bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama wote wameangukia pua.
Tusubiri na hatima ya huyu wa sasa.
Wewe mhutu nyie ndiyo mnaunda Sukuma Gang kumhujumu Rais,mnajifanya Wasukuma kumbe ni wahamiaji haramu toka Burundi.Hizo ramuli za kitoto tu, ngoja dawa iwaingie, maana mlitaka kumuletea mama zarau, ngoja awanyoshe vizuri
Bora muhamiaji haramu kuliko gaidiWewe mhutu nyie ndiyo mnaunda Sukuma Gang kumhujumu Rais,mnajifanya Wasukuma kumbe ni wahamiaji haramu toka Burundi.
Huyu mama nae atashindwa tu Kama walivyoshindwa waliomtangulia.Mungu yupo nasi 🙏
Kama mnavyopoteana kila chaguziHuyu mama nae atashindwa tu Kama walivyoshindwa waliomtangulia.
Gods plansChadema ni mpango wa Mungu
Hii kauli Chadema hawataki kuisikia tena. Wamebadili gia angani!Mama anaupiga mwingiiiii wa pasi ndefu ndefuuu...
Mnajipa moyo tu chadema chama gani kimeishiwa nguvu kabisa. Chama ni kukubalika na wapiga kura. Chadema mbunge mmoja tu wakuchaguliwa nguvu gani mnayo? Saa hizi ni kama mende tu. Ukimkanyaga kichwa bado anafurukuta. Ruzuku hampewi mnafurukuta kwa kupewa hela na mabeberu wanaohangaika kuwaingiza madarakani ili muwakabidhi uchumi wa nchi yetu.Naomba niwawleze CHADEMA ni mpango wa Mungu kwa watanzania, hakuna ataeshindana na hiki chama akakiweza. Hakuna,hakuna na hatatokea.
Wanaopambana na CHADEMA wanapambana na nguvu za Mungu na ndio maana hiki chama mpaka leo kipo imara. Wanapoteza muda tu na resources zao bure tu.
Yule aliesema vyama vya upinzani ni vyama vya msimu, alipambana nacho ila mwisho wa siku aliondoka Magogoni akiacha CHADEMA ikiwa imara kuliko jana.
Akaja mwingine mwenye akili sifuri alieamini katika kutumia mabavu na biashara ya kununua wanasiasa akiamini kwa kutumia mbinu hizo ndio ataiua CHADEMA, ila mwisho wa siku kafa yeye kaicha CHADEMA imara kuliko hata chama chake kilichokuwa kinabebwa kwa lila namna.
Sasa kaja mwingine ambae nae hataki kutazama historia na kujiuliza kama wenzake wameshindwa yeye ndio ataweza?
Narudiia, kupambana na CHADEMA sio kupambana na Mbowe,Lissu,Heche au kamanda mwingine yoyote, bali ni kupambana na mwenye Mamlaka Mbinguni na duniani na asiporudi nyuma, nae atakipata anachokitafuta kutoka kwa huyo mwenyewe Mamlaka yote.
Kama ambavyo Mussa aliteuliwa na Mungu kuwaokoa wana wa Israel waliokuwa wanateseka nchini Misri, ndivyo hivyo hivyo kaiteua CHADEMA kupambana na Goliati CCM na hakika huyu Goliati atashindwa hii vita.
Binafsi naamini kilichomuondoa yule dikteta ni mpango wake wa kutamka kummaliza Mwenyekiti ila Mungu akaingiia kati na akamuondoa kama anavyoweza kumuondoa huyu anaejaribu kuiga bila kutafakari kwa kina.
Kupambana na CHADEMA ni kutafuta aibu, fedheha na anguko baya na ndio maana wote waliojaribu kupambana na hiki chama(serikali, watu binafsi, n.k,), wote wameangukia pua.Kama yupo aliewahi ishinda CHADEMA, nitajieni na mimi nimjue.
CHADEMA si NCCR, CUF au vyama vingine, bali hiki chams ni namba nyingine na ndio maana kimeweza kutawla ligi ya vyama vingi kwa miaka mingi mfululizo licha ya waamuzi kutokuwa fair kwani husajili wachezaji wenye viwango na ndio maana timu pinzani huwanunua wakiamini watawasaidia ila mambo hua kinyume chake.
Baada ya kuona CHADEMA ni unbeaten ndani ya uwanja kwa miaka mingi, wakaanza fitina nje ya uwanja, ila nawaambia hata hii mbinu ambayo wamekuwa wakiitumia kwa muda sasa, nayo itashindwa tu.
Hivyo, kwa wakati huu, tusubiri na hatima ya huyu alieamua kupambana na hiki chama tuone atafika wapi.
Gaidi ni yule aliyeko motoni sasa hiviBora muhamiaji haramu kuliko gaidi