Nani alitakiwa kupelekwa kamati ya Maadili kati ya Ndugu Mpina na Waziri Bashe?

Rabbon

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2022
Posts
21,625
Reaction score
33,688
Salaam, Shalom!!

Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?

Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?

Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya bunge mara 18, au aliyetoa ushahidi wa Kweli?

Kwani ni kosa la jinai kusema Kweli Nchi hii na kutetea maslah ya nchi na wananchi maskini?

Nawasilisha.
 
Ni aliyelidanganya bunge au aliyetoa ushahidi wa Kweli?

Mpina a.k.a mpima samaki kwa lula a.k.a mlinda legacy isipotee
 
Unayajua madhara ya sukari fake ya GMO Toka Brazil kiafya?

Na kwanini waagize Hadi December ilhali viwanda vyetu tayari sukari itakuwepo, tena iliyo Bora?
Unamuuliza swali gumu sana kwake,yeye ni kusifia tu,no matter what,ndomaana wanasiasa wanawapenda watu wa hivi,hawapambanui mambo.Hajui madhara ya GMO wala hajui madhara ya ukosefu wa soko la sukari inayozalishwa ndani.
 
Hajui Kagera sugar imeajiri Watanzania na inalipa Kodi,

Lakini sukari Toka Brazil, inatoka ajira Kwa wabrazil, inakausha hazina ya dollar nchini, inaathiri AFYA, hailipi Kodi, wanapata faida ovu ni wanasiasa wanaokula ten percent!!
 
Yeye hajui hayo,watu wengine ni MYOPIC sana,ndomaana CHAMA kinawapenda.Watoto wa akina Bashe,wanapata quality education,waje waiibie hii nchi,huku watu kama hawa,wanabaki ni kupiga mapambio tu,kijingajinga,hayawezi hata kufanya analysis ambayo ni critical.
 
Haya yote wananchi tunaweza kuyabadili sijajua tunashindwa wapi!?
 
Watakwambia ni CDM ndiyo wenye matatizo ya akili na wanahatarisha utulivu amani na mshikamano wetu. Watanzania wanaacha kushughulikia mwizi waliyenaye leo hii wanashughulika na mtarajiwa mwizi ambaye anaweza asiwe au asipate nafasi ya kuwa mwizi.
 
Nyie Wasukuma msituletee chuki zenu za kijinga!
Alisikika punguani mmoja!! Kuwa msukuma siyo hatia ndg. Taifa hili lilistahili ndo lipigwe na jeshi la israel maana wapumbavu ni wengi huenda mabomu yangezibua akili zetu
 
Salaam, Shalom!!

Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?

Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?

Ni aliyelidanganya bunge au aliyetoa ushahidi wa Kweli?

Kwani ni kosa la jinai kusema Kweli Nchi hii na kutetea maslah ya nchi na wananchi maskini?

Nawasilisha.
Mpina amepelekwa kwa kudharau bunge kwenye etiquette zake,suala la Bashe na tuhuma zake zimepelekwa zichunguzwe na kamati sababu bunge haliwezi kuchukulia tuhuma kuwa ni gospel truth.
Unakumbuka ya Richmond?
 
Huo ushahidi asingeutoa kwanza Kwa umma tukasoma neno Kwa neno,

Tungepata wapi kujua Kweli na ushahidi?

Hakuna kosa Mpina amefanya.
 
Salaam, Shalom!!

Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?

Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?

Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya bunge mara 18, au aliyetoa ushahidi wa Kweli?

Kwani ni kosa la jinai kusema Kweli Nchi hii na kutetea maslah ya nchi na wananchi maskini?

Nawasilisha.
 
Attachments

  • VID-20240624-WA0010.mp4
    19.7 MB
Back
Top Bottom