peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
HUSSEIN BASHE akiwa Naibu Waziri wa Kilimo mwaka 2020 walitunga sheria kulinda viwanda vya sukari nchini,Nleo amekuwa Waziri kamili bila aibu na sijui kwa kuwadharau wabunge na watanzania kapeleka mabadiliko ya sheria bungeni ili kesho waipitishe kuruhusu kampuni za stationery, vikampuni vya uchochoroni, vikampuni vya simu za Aitel kwa Mgongo wa Mlezi wake wa Gesi kupewa vibali vya kuagiza sukari, Wabunge wetu hii sheria muitazame kwa makini msikilizeni Mhe Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo