peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Magufuli tutamkumbuka kwakweli,HUSSEIN BASHE akiwa Naibu Waziri wa Kilimo mwaka 2020 walitunga sheria kulinda viwanda vya sukari nchini,Nleo amekuwa Waziri kamili bila aibu na sijui kwa kuwadharau wabunge na watanzania kapeleka mabadiliko ya sheria bungeni ili kesho waipitishe kuruhusu kampuni za stationery, vikampuni vya uchochoroni, vikampuni vya simu za Aitel kwa Mgongo wa Mlezi wake wa Gesi kupewa vibali vya kuagiza sukari, Wabunge wetu hii sheria muitazame kwa makini msikilizeni Mhe Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo
Bashe na Mh. Spika wa BungeSalaam, Shalom!!
Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?
Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?
Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya bunge mara 18, au aliyetoa ushahidi wa Kweli?
Kwani ni kosa la jinai kusema Kweli Nchi hii na kutetea maslah ya nchi na wananchi maskini?
Nawasilisha.
Giza linaelekea mwisho, soon kutapambazuka!!Daah ila Tanzania yangu sijui tunaishia wapi
Bado Bashe ni kiongozi nzuriHUSSEIN BASHE akiwa Naibu Waziri wa Kilimo mwaka 2020 walitunga sheria kulinda viwanda vya sukari nchini,Nleo amekuwa Waziri kamili bila aibu na sijui kwa kuwadharau wabunge na watanzania kapeleka mabadiliko ya sheria bungeni ili kesho waipitishe kuruhusu kampuni za stationery, vikampuni vya uchochoroni, vikampuni vya simu za Aitel kwa Mgongo wa Mlezi wake wa Gesi kupewa vibali vya kuagiza sukari, Wabunge wetu hii sheria muitazame kwa makini msikilizeni Mhe Mkenda akiwa Waziri wa Kilimo
Wote wawili ni maccmSalaam, Shalom!!
Nani amekosa Maadili kati ya Hawa wawili?
Ni yule aliyedhamiria viwanda vya ndani vifungwe Kwa kuletewa sukari Toka nje ,fake, GMO ya Bei Chee yenye kuuzwa Bei sawa na sukari ya ndani yenye ubora, ilipiwayo Kodi, iliyoajiri Watanzania?
Anayepaswa kuhojiwa ni aliyelidanganya bunge mara 18, au aliyetoa ushahidi wa Kweli?
Kwani ni kosa la jinai kusema Kweli Nchi hii na kutetea maslah ya nchi na wananchi maskini?
Nawasilisha.
Wizi wa pesa za umma Si KAZI ,ulijue Hilo.Kazi inaendelea vizuri
We mambo ya watu yaache hivyo hivyo. Snura aliimba wimbo Majanga ndiyo hayo.Salaam, Shalom!!