Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 12,675
- 25,924
watu wengi mnamshambulia huyu kijana ambaye majuzi tu ameipa sifa nchi kwa tuzo. kama kukopi na kupaste ni rahisi kama mnavyomtuhumu, mbona ninyi hamjafanya hivyo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere.
Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
Asante kwa maelezo mkuu. Nashon hajafanya vyema.View attachment 2984116
Yericko ndie mmiliki wa kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi kuanzia jina na maudhui yake, Alisajili katika mamlaka za serikali tangu 2016. Yeyote atakayeandika kitabu kwa jina la UJASUSI bila idhini au marejeo kwa Yericko atakuwa amevinja sheria.
Huyo Nashoni aliiba sehemu ya maandiko ya Yericko aliyokuwa akipost kwaajili ya matangazo ya kitabu cha Ujasusi huko FB ambako huwa anauzia kitabu kwamtindo wa kutoa makala fupi kutoka katika kitabu chake, Nashon akaungaunga na kuita kitabu, Yericko aliwahi kumfuta Nashoni nakumuonya asiendelee kuchapisha hako kakitabu akatii amri hiyo kuwa hata chapisha maudhui hayo wala jina la kitabu hicho.
Nadhani aliacha kuchapisha pale mtaa wa Agrey alipokuwa akichapa na kuuza kwa kificho sana, Hicho kinachoitwa kitabu cha Nashon sio kitabu ni kajarida ka kurasa 100+ tu. Wakati Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi cha Yericko kina kurasa 776.
Hahaa....Uchawi upo ndugu yangu. Mtu mwenye uwezo wa kuandika Idea kubwa lakini kakosea kwenye splingi za Dola.Hilo neno Dora sehemu ya Dola tumeshamjua mchawi
Yerricko ni level nyingine kabisawatu wengi mnamshambulia huyu kijana ambaye majuzi tu ameipa sifa nchi kwa tuzo. kama kukopi na kupaste ni rahisi kama mnavyomtuhumu, mbona ninyi hamjafanya hivyo?
Mimi mwenye 'D' mbili za kidato cha nne Wacha nipige kimya!!!View attachment 2980800 Jamaa kaandika Dora; sijui ni nini!
Anyway; kumuelewa Yericko Nyerere unatakiwa angalau uwe na elimu ya Diploma (Stashahada) na kuendelea. Ukiwa na Shahada (degree) au Masters (uzamili) itapendeza zaidi.
Ninasema hivi kwa sababu mwenye elimu tajwa hapo juu amepitia na kujifunza jinsi ya kufanya utafiti, kuandaa machapisho, ikiwa ni pamoja na kunukuu machapisho mbalimbali.
Iwapo kama una elimu ya kuunga unga utapata shida sana kuelewa machapisho.
Ila kama uliandika "Project" ya form 4 basi utakuwa na uelewa kidogo.Mimi mwenye 'D' mbili za kidato cha nne Wacha nipige kimya!!!