Kwa polisi?Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record...
GoodUmekurupuka,
CHADEMA hawajatoa hayo madai rasmi mpaka sasa. Wanachotaka CDM ni hao wabunge wasijiite au wasitumie jina la chama chao.
Wamesema kama nyie mnawataka mnaweza kuwachakua, wao hawana tatizo na hilo.
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?Umekurupuka,
CHADEMA hawajatoa hayo madai rasmi mpaka sasa. Wanachotaka CDM ni hao wabunge wasijiite au wasitumie jina la chama chao.
Wamesema kama nyie mnawataka mnaweza kuwachakua, wao hawana tatizo na hilo.
Heading tu inatosha kujua wewe ni Bashite"Jarada"Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?
Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Huwa wanajiongeza kwenye maandamano ya CHADEMA pekeeHivi Polisi kazi yao ni kupelekewa taarifa tu...wao hawajiongezi mpaka wapelekewe au kwa mtu kufungua jalada? Hawachunguzi jinai inayo semwa hadharani ni mpaka tu mtu aende kuwaambia...kama ni kweli basi PGO inabidi ifanyiwe marekebisho ili kuwepo na kifungu kinachosema taarifa yaweza kuwa issued publicly au kwenda kituoni...
hii inaweza kuwa defence kwenye court of law?Hivi Polisi kazi yao ni kupelekewa taarifa tu...wao hawajiongezi mpaka wapelekewe au kwa mtu kufungua jalada? Hawachunguzi jinai inayo semwa hadharani ni mpaka tu mtu aende kuwaambia...kama ni kweli basi PGO inabidi ifanyiwe marekebisho ili kuwepo na kifungu kinachosema taarifa yaweza kuwa issued publicly au kwenda kituoni...
Kwani CHADEMA wamekwambia wanashida na akina Halima? wao wanataka wasitumie jina la chama chao lakini wabaki na ubunge waoNdio kwaajili ya record
Bashite mkubwa weweUlimi hufuata mkoa
Tulia dada anguhaya bwana
Hili ndio la kupambania sasa, haki nyingi zinapotea kwa matinki hiiHitaji la Katiba Bora ni muhimu. Tuwe na taasisi imara zinazojisimia. Tumeshuhudia mengi ya hovyo na wote tukisubiri huruma, hisani ya Rais JMT na mwenyekiti wa CCM atoe maelekezo.