4 7mbatizaji
JF-Expert Member
- Dec 8, 2019
- 8,406
- 9,619
Na serikali yenye mashinery zote ilishindwa vipi jiakikishia kwamba wamegushi Ili kutafuta mchawi nani Kati ya wabunge 19 na chama chao,? Tunakuja na hoja nyepesi Sana katika hili, na tunafanya makosa makubwa kutetea Jambo ambalo lipo waziNajua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?
Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?