Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Na serikali yenye mashinery zote ilishindwa vipi jiakikishia kwamba wamegushi Ili kutafuta mchawi nani Kati ya wabunge 19 na chama chao,? Tunakuja na hoja nyepesi Sana katika hili, na tunafanya makosa makubwa kutetea Jambo ambalo lipo wazi
 
Umekurupuka,
CHADEMA hawajatoa hayo madai rasmi mpaka sasa. Wanachotaka CDM ni hao wabunge wasijiite au wasitumie jina la chama chao.

Wamesema kama nyie mnawataka mnaweza kuwachakua, wao hawana tatizo na hilo.
Hujajibu hoja bado!
 
Wabunge WA Viti maalumu huchaguliwa na CC ya chama cha Chadema.

Naomba uweke evidence hapa ni lini na wapi CC ya chama cha Chadema ilichagua wabunge WA Viti maalumu. Ukiweza Kufanya hivyo Mimi nitaondoka jamii forum?

Kumbuka cc ya chama ikichagua wabunge katibu mkuu ndio huandika barua kwenda Kwa msajili na Bunge kuwatambuliwa wabunge waliochaguliwa. Kama hicho hakikufanyika utakuwa umeelewa nini kilifanyika
mimi sikatai kuwa hawakughushi nachouliza kuripotiwa polisi kwaajili ya record
 
Chadema wanayo haki ya kuwafukuza wanachama na Wanachama wanayo haki ya kupinga kufukuzwa hiyo ndiyo Haki za binadamu.Huwa nawasikia mara nyingi mkihubiri haki ni haki gani mlizozikusudia?

Mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya utoaji haki?

Mliposema katiba hii inatoa mamlaka makubwa Kwa mtu mmoja nilidhani mlikusudia kuondoa ukiritimba uliojificha kwenye maamuzi ya vikao vya wengi wenyekupitisha Matakwa ya mtu mmoja.

Nilidhani muda wa kusujudu fikra za Mwenyekiti pekee umekwisha!

Kwanini tuchukie Jambo kufikishwa mahakamani ili tupate tafsiri sahihi ya mambo ambayo yamekuwa yakitatiza jamii?

Kwanini hamu yetu ni kukomoa,kujenga,chuki isiyokuwa na maslahi Kwa jamii?
 
Hata hili la mtu kutolewa magereza usiku na kuapishwa kuwa mbunge usiku kwa usiku,ubunge ambao hata yeye mwenyewe alishangaa kaupataje kwa kuwa hakuomba na sheria hairuhusu, na lenyewe huoni kuwa ni tatizo mpaka CHADEMA wakuthibitishie?. Wakati ushahidi uko wazi kabisa?.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Ilifahamika ni kesi ya ngedere iende Kwa nyani kutafuta haki na imeanza kuthibitika taratibu 🤔
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?

Mrema,Kigaila,Mnyika Fungueni kesi ya covid19 kugushi sahihi zenu.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Ukimwona Kobe Juu ya mti ujuwe kuna mtu kampandisha.
 
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
 
Umekurupuka,
CHADEMA hawajatoa hayo madai rasmi mpaka sasa. Wanachotaka CDM ni hao wabunge wasijiite au wasitumie jina la chama chao.

Wamesema kama nyie mnawataka mnaweza kuwachakua, wao hawana tatizo na hilo.
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende
 
Unafikiri watafunguaje kesi endapo hawana ushahidi wa nyaraka hizo maana ziko kwa spika bungeni tu
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Spinning nayo ni fani.Hapo umewalalamikia CDM?It was been very clear from the beginning,Mdee na wenzake ndiyo wenye ukweli lakini ni kama wanapewa backup na serikali,bunge,CCM yote na wanalindiwa ubunge wao kwa gharama kubwa.Tujiulize,Mdee aliyeporwa Jimbo la Kawe na CCM/Gwaji+Jiwe Leo anapewa protection ya ubunge viti maalum CDM na CCM hiyo hiyo?Wamefukuzwa CDM,kwa mini wananga'ang'aniza uanachadema?
 
Chadema wanayo haki ya kuwafukuza wanachama na Wanachama wanayo haki ya kupinga kufukuzwa hiyo ndiyo Haki za binadamu.Huwa nawasikia mara nyingi mkihubiri haki ni haki gani mlizozikusudia?

Mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya utoaji haki?

Mliposema katiba hii inatoa mamlaka makubwa Kwa mtu mmoja nilidhani mlikusudia kuondoa ukiritimba uliojificha kwenye maamuzi ya vikao vya wengi wenyekupitisha Matakwa ya mtu mmoja.

Nilidhani muda wa kusujudu fikra za Mwenyekiti pekee umekwisha!

Kwanini tuchukie Jambo kufikishwa mahakamani ili tupate tafsiri sahihi ya mambo ambayo yamekuwa yakitatiza jamii?

Kwanini hamu yetu ni kukomoa,kujenga,chuki isiyokuwa na maslahi Kwa jamii?
Mimi nafikiri Chadema hawana shida na akina Mdee kwenda Mahakani, wao wanayashangaa maamuzi ya Spika! Ningekuwa Spika ili kujiweka mbali na hili jambo baada ya kupokea barua ya Chadema kuwavua uanachama wanachama wao ningefuata katiba inavyotaka ila kwa vile wamekata rufaa mahakamani ningesema" kwa vile mpaka sasa nyie siyo wanachama wa chama chochote mtasimama ubunge mpaka mahakama ikiamua vingine, ikiwarudishia uanachama wenu mtaendelea na ubunge wenu ikikubaliana na chama chenu mmepoteza ubunge jumla".
Lakini kwa namna wanavyolipeleka hili jambo hata sisi tuloishia la 7 C unatambua malengo yao ni yapi yaani kwa ufupi mbinu zao ni za kishamba tu.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Sema Mnapendaga kujitoa akili sana... Kabla hata ya kuuliza kama walitoa taarifa Jiulize Nusrat Hanje alieyekua Jela alitolewaje usiku gerezani na kwenda kuapa bungeni! Hujiulizi kwa nini COVID 19 wamefungua kesi chadema hawakupewa summons? Je mawakili wa serikali wanawatetea kina Mdee kama nani? serikali ina maslahi gani kwenye issue ya chama na wanachama wake? kesi za wanachama wa chadema au hata ile ya wanchama wa CUF serikali iliweka wanasheria wake kutetea wanachama wa chadema au CUF? SMH
 
Umeuliza swali la msingi sana , wao wanakomaa na kwenye mrija tu !

Kwa yanayoendelea CHADEMA Mungu atuweke na mitandao ni mwalimu mzuri na maktaba nzuri tutazifufua hizi comments, Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuongoza nchi mpaka labda 2050 huko
 
Mkuu nikuulize umeona nyaraka yoyote inayooneshwa na tume ya Uchaguzi kwamba imetoka Chadema? Husije kuta hata iyo ya kugushi haipo yaani majina yameandwa kwenye tishu na kuyapeleka Bungeni
walishawahi waandikia tume kuomba kuona nakala ya hizo nyaraka?
 
Watakachofanya CHADEMA mahakamani ni kukataa tu kwamba chama chao hakijwahi kuwateua, kuwaidhinisha au kupeleka majina yao NEC ili wajaze nafasi za viti maalum.

Itakuwa kazi ya Halima Mdee na wenzake, NEC na wahusika wengine wote kuthibitisha majina yao yalipatikana kupitia vikao halali vya CHADEMA na wao ndio walioyatuma NEC.
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?
 
Back
Top Bottom