Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

Mtini

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2011
Posts
1,492
Reaction score
2,361
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
 
Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie

Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili

Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?

Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha

Atakuja mtu kuijibu hii post.

Hatataka kuongeala hoja yako, ila atanitukana kuwaambia ni mazombie, wait n see😂😂
 
Umekurupuka,
CHADEMA hawajatoa hayo madai rasmi mpaka sasa. Wanachotaka CDM ni hao wabunge wasijiite au wasitumie jina la chama chao.

Wamesema kama nyie mnawataka mnaweza kuwachakua, wao hawana tatizo na hilo.
 
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?
 
Hivi Polisi kazi yao ni kupelekewa taarifa tu...wao hawajiongezi mpaka wapelekewe au kwa mtu kufungua jalada? Hawachunguzi jinai inayo semwa hadharani ni mpaka tu mtu aende kuwaambia...kama ni kweli basi PGO inabidi ifanyiwe marekebisho ili kuwepo na kifungu kinachosema taarifa yaweza kuwa issued publicly au kwenda kituoni...
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Heading tu inatosha kujua wewe ni Bashite"Jarada"
 
Hivi Polisi kazi yao ni kupelekewa taarifa tu...wao hawajiongezi mpaka wapelekewe au kwa mtu kufungua jalada? Hawachunguzi jinai inayo semwa hadharani ni mpaka tu mtu aende kuwaambia...kama ni kweli basi PGO inabidi ifanyiwe marekebisho ili kuwepo na kifungu kinachosema taarifa yaweza kuwa issued publicly au kwenda kituoni...
Huwa wanajiongeza kwenye maandamano ya CHADEMA pekee
 
Hivi Polisi kazi yao ni kupelekewa taarifa tu...wao hawajiongezi mpaka wapelekewe au kwa mtu kufungua jalada? Hawachunguzi jinai inayo semwa hadharani ni mpaka tu mtu aende kuwaambia...kama ni kweli basi PGO inabidi ifanyiwe marekebisho ili kuwepo na kifungu kinachosema taarifa yaweza kuwa issued publicly au kwenda kituoni...
hii inaweza kuwa defence kwenye court of law?
 
Hitaji la Katiba Bora ni muhimu. Tuwe na taasisi imara zinazojisimia. Tumeshuhudia mengi ya hovyo na wote tukisubiri huruma, hisani ya Rais JMT na mwenyekiti wa CCM atoe maelekezo.
 
Hili ndio la kupambania sasa, haki nyingi zinapotea kwa matinki hii
 
Wabunge WA Viti maalumu huchaguliwa na CC ya chama cha Chadema.

Naomba uweke evidence hapa ni lini na wapi CC ya chama cha Chadema ilichagua wabunge WA Viti maalumu. Ukiweza Kufanya hivyo Mimi nitaondoka jamii forum?

Kumbuka cc ya chama ikichagua wabunge katibu mkuu ndio huandika barua kwenda Kwa msajili na Bunge kuwatambuliwa wabunge waliochaguliwa. Kama hicho hakikufanyika utakuwa umeelewa nini kilifanyika
 
Back
Top Bottom