Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?
hapa inaonekana mnyika alisaini hizi fomu za wabunge 19 wa chadema mbona mnyika yupo kimya sana na suala hili njaa mbaya
 

Chadema waliwafukuza kina mdee mwaka 2020, ila wao wakakata rufaa. Leo wamefukuzwa na baraza kuu bado wamekimbia mahakamani. Na sababu ya kuwafukuza ni kwamba wameghushi nyaraka.
 
hapa inaonekana mnyika alisaini hizi fomu za wabunge 19 wa chadema mbona mnyika yupo kimya sana na suala hili njaa mbaya

Shida viongozi wanazungukana hili ndio tatizo. Maana Kama watu wameghushi mbona wanajiamini hivyo?.
 

Wewe unatukana watu halafu unajiona una busara. Suala lipo mahakamani tutaujua ukweli wote huko.
 

Halafu Chadema haijaenda mahakamani ni akina Mdee ndio walioenda mahakamani. Hivyo kusema Mambo ya kwenda kudai tv mahakamani sio mfano mzuri.
 

CDM hawana muda wa kwenda kushitaki popote maana mifumo yote ilikuwa imeoza wakati huo na hata sasa. Wao walichofanya ni kuwavua uanachama walioenda kinyume msimamo wa chama. CDM haitaki kusikia kuwa kuna wanachama bungeni kwa jina lake, kwani hawatambui matokeo ya uchaguzi ule wa kihayawani. Walioenda huko mahakamani ni hao wanawake, hivyo CDM itaweka ushahidi huko mahakamani. Polisi ni baadhi ya taasisi zinazotumika na CCM kuwabambikia kesi nk. Mfano mrahisi wakati wa uchaguzi mkuu CDM walienda polisi kutoa ushahidi wa wizi wa kura, na mabox ya kura ya ushahidi yalikuwepo. Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Ulitaka CDM wakashitaki nini tena na wapi?
 
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?

Mahakama itatuonesha ukweli wote Kama viongozi wa Chadema walizungukana itajulikana au akina Mdee walighushi.
 
Unachokoza ili ujibiwe?Subiri ukifika wakati wa cross examination (perpendicular bisector) mahakamani utapata majibu.
 

Wale wameenda mahakamani sio kupata haki Bali kuzuia muda ili waendelee kula Kodi za wajinga mpaka 2025. Maana pesa za umma hazina mwenyewe.
 
..Na kwanini Halima au tume hawaonyeshi hizo fomu kuthibitisha kwamba sio za kugushi?
 
walishawahi waandikia tume kuomba kuona nakala ya hizo nyaraka?

Tume ilishasema wazi chadema hawajapeleka majina ya viti maalum. Sasa chadema wangeenda kuomba nyaraka gani?
 
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende

Kwenye chadema hakuna mkubwa zaidi ya chama. Hata Dr Slaa aliondoka sembuse huyo msagaji.
 
Umeuliza swali la msingi sana , wao wanakomaa na kwenye mrija tu !

Kwa yanayoendelea CHADEMA Mungu atuweke na mitandao ni mwalimu mzuri na maktaba nzuri tutazifufua hizi comments, Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuongoza nchi mpaka labda 2050 huko

Ungesema milele, 2050 mbona karibu Sana. Maana mnaogopa katiba mpya na Tume huru ila mnajidai ndio mtaongoza milele.
 
Their hate has spread to the folks who get their news from them,

Now those who know the truth are starting to hate too.
 
SUBIRI KESI IPO MAHAKAMANI TUTAMJUA ACHA KUWEWESEKA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Yaani wew Kihiyo kweli unasema kuwa unajuwa kuwa jinai huwa haifi halafu unawalaumu Chadema kwa nini hawajawahi kupeleka kesi Mahakamani mpka Sasa wakati unajua kuwa Chadema haijafa.
Sasa ikitokea mwakani wakapeleka kesi Mahakamani utasema Ujinga gani wewe kibwetele? Hataka mnalipwa pesa kuandika ukumbe hapa JF Basi tumieni Akili kufikili badala ya makalio
 
jinai haifi ila inaathiriwa na after thought
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…