Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?

Chadema waliwafukuza kina mdee mwaka 2020, ila wao wakakata rufaa. Leo wamefukuzwa na baraza kuu bado wamekimbia mahakamani. Na sababu ya kuwafukuza ni kwamba wameghushi nyaraka.
 
hapa inaonekana mnyika alisaini hizi fomu za wabunge 19 wa chadema mbona mnyika yupo kimya sana na suala hili njaa mbaya

Shida viongozi wanazungukana hili ndio tatizo. Maana Kama watu wameghushi mbona wanajiamini hivyo?.
 
Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie

Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili

Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?

Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha

Atakuja mtu kuijibu hii post.

Hatataka kuongeala hoja yako, ila atanitukana kuwaambia ni mazombie, wait n see😂😂

Wewe unatukana watu halafu unajiona una busara. Suala lipo mahakamani tutaujua ukweli wote huko.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?

Halafu Chadema haijaenda mahakamani ni akina Mdee ndio walioenda mahakamani. Hivyo kusema Mambo ya kwenda kudai tv mahakamani sio mfano mzuri.
 
Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie

Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili

Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?

Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha

Atakuja mtu kuijibu hii post.

Hatataka kuongeala hoja yako, ila atanitukana kuwaambia ni mazombie, wait n see😂😂

CDM hawana muda wa kwenda kushitaki popote maana mifumo yote ilikuwa imeoza wakati huo na hata sasa. Wao walichofanya ni kuwavua uanachama walioenda kinyume msimamo wa chama. CDM haitaki kusikia kuwa kuna wanachama bungeni kwa jina lake, kwani hawatambui matokeo ya uchaguzi ule wa kihayawani. Walioenda huko mahakamani ni hao wanawake, hivyo CDM itaweka ushahidi huko mahakamani. Polisi ni baadhi ya taasisi zinazotumika na CCM kuwabambikia kesi nk. Mfano mrahisi wakati wa uchaguzi mkuu CDM walienda polisi kutoa ushahidi wa wizi wa kura, na mabox ya kura ya ushahidi yalikuwepo. Hakuna hatua zozote zilizochukuliwa. Ulitaka CDM wakashitaki nini tena na wapi?
 
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?

Mahakama itatuonesha ukweli wote Kama viongozi wa Chadema walizungukana itajulikana au akina Mdee walighushi.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Unachokoza ili ujibiwe?Subiri ukifika wakati wa cross examination (perpendicular bisector) mahakamani utapata majibu.
 
Chadema wanayo haki ya kuwafukuza wanachama na Wanachama wanayo haki ya kupinga kufukuzwa hiyo ndiyo Haki za binadamu.Huwa nawasikia mara nyingi mkihubiri haki ni haki gani mlizozikusudia?

Mbona mnataka kuhodhi mamlaka ya utoaji haki?

Mliposema katiba hii inatoa mamlaka makubwa Kwa mtu mmoja nilidhani mlikusudia kuondoa ukiritimba uliojificha kwenye maamuzi ya vikao vya wengi wenyekupitisha Matakwa ya mtu mmoja.

Nilidhani muda wa kusujudu fikra za Mwenyekiti pekee umekwisha!

Kwanini tuchukie Jambo kufikishwa mahakamani ili tupate tafsiri sahihi ya mambo ambayo yamekuwa yakitatiza jamii?

Kwanini hamu yetu ni kukomoa,kujenga,chuki isiyokuwa na maslahi Kwa jamii?

Wale wameenda mahakamani sio kupata haki Bali kuzuia muda ili waendelee kula Kodi za wajinga mpaka 2025. Maana pesa za umma hazina mwenyewe.
 
..Na kwanini Halima au tume hawaonyeshi hizo fomu kuthibitisha kwamba sio za kugushi?
 
walishawahi waandikia tume kuomba kuona nakala ya hizo nyaraka?

Tume ilishasema wazi chadema hawajapeleka majina ya viti maalum. Sasa chadema wangeenda kuomba nyaraka gani?
 
CDM mliwatumia watoto wa watu kina mdee kuitukana serekali ya ccm kwa kipind lirefu Leo mnakuja kuwataka kuwafukuza Kam mbwa hpn huo ndio uhun
Mdee kanyaga twende

Kwenye chadema hakuna mkubwa zaidi ya chama. Hata Dr Slaa aliondoka sembuse huyo msagaji.
 
Umeuliza swali la msingi sana , wao wanakomaa na kwenye mrija tu !

Kwa yanayoendelea CHADEMA Mungu atuweke na mitandao ni mwalimu mzuri na maktaba nzuri tutazifufua hizi comments, Chama cha Mapinduzi kitaendelea kuongoza nchi mpaka labda 2050 huko

Ungesema milele, 2050 mbona karibu Sana. Maana mnaogopa katiba mpya na Tume huru ila mnajidai ndio mtaongoza milele.
 
Their hate has spread to the folks who get their news from them,

Now those who know the truth are starting to hate too.
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
SUBIRI KESI IPO MAHAKAMANI TUTAMJUA ACHA KUWEWESEKA

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
 
Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.

Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?

Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Yaani wew Kihiyo kweli unasema kuwa unajuwa kuwa jinai huwa haifi halafu unawalaumu Chadema kwa nini hawajawahi kupeleka kesi Mahakamani mpka Sasa wakati unajua kuwa Chadema haijafa.
Sasa ikitokea mwakani wakapeleka kesi Mahakamani utasema Ujinga gani wewe kibwetele? Hataka mnalipwa pesa kuandika ukumbe hapa JF Basi tumieni Akili kufikili badala ya makalio
 
Yaani wew ni mkund uu kweli unasema kuwa unajuwa kuwa jinai huwa haifi halafu unawalaumu Chadema kwa nini hawajawahi kupeleka kesi Mahakamani mpka Sasa wakati unajua kuwa Chadema haijafa.
Sasa ikitokea mwakani wakapeleka kesi Mahakamani utasema Ujinga gani wewe kibwetele? Hataka mnalipwa pesa kuandika ukumbe hapa JF Basi tumieni Akili kufikili badala ya makalio
jinai haifi ila inaathiriwa na after thought
 
Back
Top Bottom