Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Kwani mtu akitolewa Jela usiku anageuka bubu hawezi kuapa?Sema Mnapendaga kujitoa akili sana... Kabla hata ya kuuliza kama walitoa taarifa Jiulize Nusrat Hanje alieyekua Jela alitolewaje usiku gerezani na kwenda kuapa bungeni! Hujiulizi kwa nini COVID 19 wamefungua kesi chadema hawakupewa summons? Je mawakili wa serikali wanawatetea kina Mdee kama nani? serikali ina maslahi gani kwenye issue ya chama na wanachama wake? kesi za wanachama wa chadema au hata ile ya wanchama wa CUF serikali iliweka wanasheria wake kutetea wanachama wa chadema au CUF? SMH
Kulalamika hadharani peke yake haitoshi, CDM walitakiwa waende police na hizo documents zao zilizo gushiwa ili lifunguliwe Jalada la uchunguzi,na hizo documents zingepelekwa kwa Mtaalaamu wa Maandishi kwa uchunguzi zaidi, na report ya Mtaalaamu wa maandishi ingepekekwa huko Mahakamani!!Acheni ujinga, chadema imelalamika hadharania kwamba covid-19 imefoji signature ilj wanipatie ubunge. Imewafukuza na kisheria sio wabunge gena na hili sakata linachafua taswila ya bunge, mahakama, serikali na nchi kwa jjjmla na na taasisi zote za usalama na uchunguzi zimesikia hili saga, sasa tujjulize kwanini hawajitokezi kufanya jchunguzi kwa mamana taswlia ya nchi inaharibika, na kama chadema ni waongo kwa ninavyojua serikali inavyowatafutaga chadema sasahivi tungekuwa tunaongea mambo mengine
Sio kila tuhuma ili ichunguzwa sharti iwe limelipotiwa polisi. Inapotokea tuhuma kubwa na kuchafua taswila ya nchi, vyombo/taasisi za uchunguzi zinapaswa kuingilia kati na kusafisha hizo tuhuma. Vinapokaa kimya, wananchi tunaamini serikali imehusika katika hilo sagaKulalamika hadharani peke yake haitoshi, CDM walitakiwa waende police na hizo documents zao zilizo gushiwa ili lifunguliwe Jalada la uchunguzi,na hizo documents zingepelekwa kwa Mtaalaamu wa Maandishi kwa uchunguzi zaidi, na report ya Mtaalaamu wa maandishi ingepekekwa huko Mahakamani!!
Mkuu unawafahamu sana hawa mazombie ya Chadema. No point na nini. Ni kutukana tu halafu wanajiita eti akili kubwa!Hawa wanachama wa chadema humu, mitaani, whatsap wote ni kama mazombie
Hakuna wa kuuliza hili, kusema hili, kujadili hili, kusimamia hili..hayupo wa kumuuliza mbowe hili
Yaani eti ukute wanakujibu hili swali?
Saa hizi wamekuwa programmed kumtukana spika!! Na CCM! Kwisha
Atakuja mtu kuijibu hii post.
Hatataka kuongeala hoja yako, ila atanitukana kuwaambia ni mazombie, wait n see😂😂
Yaani wanaololoma nyaraka zao zimeghushiwa hawajaenda kutoa taarifa kwenye machinery hizo, ila machinery ndio zihangaike? Je, baadae wenye nyaraka wakisema hazijaghushiwa je?Na serikali yenye mashinery zote ilishindwa vipi jiakikishia kwamba wamegushi Ili kutafuta mchawi nani Kati ya wabunge 19 na chama chao,? Tunakuja na hoja nyepesi Sana katika hili, na tunafanya makosa makubwa kutetea Jambo ambalo lipo wazi
Sasa kesi itaendaje Mahakamani bila ya kuwepo na Mlalamikaji au Victims!?Sio kila tuhuma ili ichunguzwa sharti iwe limelipotiwa polisi. Inapotokea tuhuma kubwa na kuchafua taswila ya nchi, vyombo/taasisi za uchunguzi zinapaswa kuingilia kati na kusafisha hizo tuhuma. Vinapokaa kimya, wananchi tunaamini serikali imehusika katika hilo saga
Sio kila tuhuma ili ichunguzwa sharti iwe limelipotiwa polisi. Inapotokea tuhuma kubwa na kuchafua taswila ya nchi, vyombo/taasisi za uchunguzi zinapaswa kuingilia kati na kusafisha hizo tuhuma. Vinapokaa kimya, wananchi tunaamini serikali imehusika katika hilo sagaKulalamika hadharani peke yake haitoshi, CDM walitakiwa waende police na hizo documents zao zilizo gushiwa ili lifunguliwe Jalada la uchunguzi,na hizo documents zingepelekwa kwa Mtaalaamu wa Maandishi kwa uchunguzi zaidi, na report ya Mtaalaamu wa maandishi ingepekekwa huko Mahakamani!!
Mlalamikaji sio lazima awe chadema, mlalamikaji anaweza likawa bunge, serikali au NEC kwa kuituhumu chadema kueneza uongo na kusababisha tahaluki ktk jamii kwa kudanganya kuwa hawakuteua wabunge wala kujaza fomu na kusema saini yao imegushiwaSasa kesi itaendaje Mahakamani bila ya kuwepo na Mlalamikaji au Victims!?
Ukitaka kuithibitisha Jina kwa Jamii usiwe muwoga,usisubiri eti flani ndiyo atakusemea kwa niaba yako kisa kaona wwe wakati unaonewa! Simama Kama wwe na vielelezo vyako,na kuhaidi utayaona Matokeo kuliko hii kukaa na kukata tamaa!!Sio kila tuhuma ili ichunguzwa sharti iwe limelipotiwa polisi. Inapotokea tuhuma kubwa na kuchafua taswila ya nchi, vyombo/taasisi za uchunguzi zinapaswa kuingilia kati na kusafisha hizo tuhuma. Vinapokaa kimya, wananchi tunaamini serikali imehusika katika hilo saga
Mlalamikaji sio lazima awe chadema, mlalamikaji anaweza likawa bunge, serikali au NEC kwa kuituhumu chadema kueneza uongo na kusababisha tahaluki ktk jamii kwa kudanganya kuwa hawakuteua wabunge wala kujaza fomu na kusema saini yao imegushiwa
Jinai!!Ukitaka kuithibitisha Jina kwa Jamii usiwe muwoga,usisubiri eti flani ndiyo atakusemea kwa niaba yako kisa kaona wwe wakati unaonewa! Simama Kama wwe na vielelezo vyako,na kuhaidi utayaona Matokeo kuliko hii kukaa na kukata tamaa!!
Nimekuslewa. Acha serikali, bunge na NEC ikubali taswila ya nchi kuchafuliwa na ChademaUkitaka kuithibitisha Jina kwa Jamii usiwe muwoga,usisubiri eti flani ndiyo atakusemea kwa niaba yako kisa kaona wwe wakati unaonewa! Simama Kama wwe na vielelezo vyako,na kuhaidi utayaona Matokeo kuliko hii kukaa na kukata tamaa!!
ukimjuwa mbowe kama ni mhuni wala huhangaiki kutafuta aliyepeleka majina kuwa ni yeye na mnyikaNajua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?
Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Mbona vyeti feki wanalipwa?Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record.
Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini kuwa hawa jamaa walighushi nyaraka?
Ni kweli jinai haifi, unaibiwa tv mwaka wa kwanza, wa pili, wa tatu uko kimya unalalamika tu mtaani, mwaka nne unaenda kupambania TV yako mahakamani nani atakuamini?
Kuna vitu haviitaji jibizana, wabunge wale 19 wamegushi, na wezi wa uma, Kama kweli kilichotendeka kulikua na baraka za chama, why walipopewa nafasi ya kujitetea kabla ya kupigiwa kura hakuna alieamuka toa utetezi wake Ili kumwaga mboga?Yaani wanaololoma nyaraka zao zimeghushiwa hawajaenda kutoa taarifa kwenye machinery hizo, ila machinery ndio zihangaike? Je, baadae wenye nyaraka wakisema hazijaghushiwa je?
Yaani mtu atunge uongo halafu umwite mtu mwingine aje ajitee kwa uongo huo. Hata mimi siendi. Lakini, mahakama itasema ukweli.Kuna vitu haviitaji jibizana, wabunge wale 19 wamegushi, na wezi wa uma, Kama kweli kilichotendeka kulikua na baraka za chama, why walipopewa nafasi ya kujitetea kabla ya kupigiwa kura hakuna alieamuka toa utetezi wake Ili kumwaga mboga?
Tunanajisi taifa letu wenyewe KWa kuendekeza Mambo madomadogo ya kijinga, bila kujua kesho yetu itakua ngum Sana, na yanafanyika haya yote KWa faida ya nani Kama sio ujinga
Ukweli upi, kwamba covid pale ni Wanachama wa Chadema? Kwamba majina yao tume yalipelekwa na chama,? Kwamba yule alietoka gerezani na kwenda kuapishwa basi alitolewa na chama,Yaani mtu atunge uongo halafu umwite mtu mwingine aje ajitee kwa uongo huo. Hata mimi siendi. Lakini, mahakama itasema ukweli.
Sasa huoni kama hawana ushahidi wa nyaraka kughushiwa Mahakama itaona jamaa wamefukuzwa kiuonevu?
Time will tell.Ukweli upi, kwamba covid pale ni Wanachama wa Chadema? Kwamba majina yao tume yalipelekwa na chama,? Kwamba yule alietoka gerezani na kwenda kuapishwa basi alitolewa na chama,
Haya Mambo yanaenda kuvua watu taulo anzia
Bunge, mahakama, tume ya uchaguzi , serikali ya awam 5 na 6
Je wajua madhara yake ? Au washabikia tu, twende tu
Hakuna Cha time Wala nini, mkuu ni uhuni tu na kualibu nchi yetu wenyewe ,Time will tell.