Gamba la Nyoka
JF-Expert Member
- May 1, 2007
- 7,036
- 9,331
Kwani mtu akitolewa Jela usiku anageuka bubu hawezi kuapa?Sema Mnapendaga kujitoa akili sana... Kabla hata ya kuuliza kama walitoa taarifa Jiulize Nusrat Hanje alieyekua Jela alitolewaje usiku gerezani na kwenda kuapa bungeni! Hujiulizi kwa nini COVID 19 wamefungua kesi chadema hawakupewa summons? Je mawakili wa serikali wanawatetea kina Mdee kama nani? serikali ina maslahi gani kwenye issue ya chama na wanachama wake? kesi za wanachama wa chadema au hata ile ya wanchama wa CUF serikali iliweka wanasheria wake kutetea wanachama wa chadema au CUF? SMH