Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

Mleta mada hili sio kosa la wadanganyika, sio kosa la mgonjwa, ni kosa la watoa huduma ambao tunaamini mmenda shule kwa ajili hiyo. Sisi wengine tunajua mengine ambayo hata nyie hamyajui, sasa kama wenye fani yenu ndio mnaboronga unawalaumu wadanganyika wote ili nini.
 
Mhmm hili limetokea famasi uchwara zilizo zagaa ,sifikiri kama kuna daktari wa hivi
 
Bado hujawaisaidia wamatumbi kwa kutowatajia dawa ya UTI ili waache kubugia iyo Azithromycin
waache kuchamba kuelekea mbele (hasa wanawake)wachambe kurudi nyuma kutatua tatizo kwanza kujua chanzo cha tatizo. na waache ile michezo na wakifanya wasiwe wana badili cd ovyo katikati ya wimbo kama dj ni hatari

pia wazingatie usafi binafsi na aina ya material za nguo wanazotumia hasa za ndani kiujumla
 
shida watu wapo kimaslai zaidi plus elimu duni juu ya matumizi sahihi ya dawa ni fursa kwa wengine
 
Hii
 
Duhh hatari!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…