Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
Sawa sawaHapo sina la kusema mkuu.
Sawa sawaHapo sina la kusema mkuu.
Tatizo wagonjwa wa siku hizi, wanajifanya nao ni madaktari; ndio maana wataalamu wanasema magonjwa ya akili yanaongezeka siku hadi siku.Hakuna kupona hapo
Hili tatizo nililifanyia presentation shuleni mwaka 1995.Hilo ndo tatizo kuu na ni kwa sababu antibiotics zinauzwa kiholela.
eti ni kweli pepsi baridi ni dawa ya kukata na kuondoa hangover kabisa?🐒Kumekua na wimbi la wadanganyika wakiamini kuwa AZUMA ( Azithromycin ) ni dawa za kutibu UTI .
Hii kitu imesambaa sana kiasi cha wimbi kubwa la watu wakizibukia kama pipi , huku wakiamini watapona UTI.
Sijui maamlaka zipo wapi , au labda na mimi ni mlevi na mjinga tu , sijui kama Azithromyicin almaarufu kama AZUMA kuwa ni dawa za kutibu bacteria wa UTI🤔
Ngoja wajuzi wa mambo waje🍺
Sasa hospital ndio tunapewa azuma dadaanguWaende hospital kwa matibabu , waache kuokoteza dalili na kubugia AZUMA
Pitu? Ambavyo zinauzwa kwa kificho hivyo? Hii nayo ni kaliNani ashawah meza pitu bila kujua 🥺
Ukipewa hospital sawa,tatizo ni mtu kutumia bila kuandikiwa na daktari.Sasa hospital ndio tunapewa azuma dadaangu
Afya nchini kwetu ni changamoto kwa ujumla.Hili tatizo nililifanyia presentation shuleni mwaka 1995.
Ila mpaka leo hatujalipa kipaumbele.
Tatizo kabla hawajaenda mahospitalini wanajitibu kwanza mtaani kwa dawa za kuambiwa na marafiki,wakiona mambo yamegoma ndo wanaenda hospital.Nafikiri kuna matibbu mengi yanatolewa ambayo sio sahihi kwa UTI
Na ndio sababu watu wengi wamekuwa sugu....kiasi cha kuhitaji 2nd line ila wakienda mahospitali wanarudishiwa dawa zile zile za 1st line....ndio sababu hawaponi
Shida hilo jina la ciprofloxacin halijatrend.....Shida sio watumiaji shida ni watoaji.ndio inapelekea watumiaji wakariri
Kama hunielewi Nenda Leo ukimkuta pharmacy mtu aliepimwa mkojo akajutwa na UTI angalia dawa anazopewa.lazima waweke azuma.na watu wakimeza baadhi wanapona
Lakini azuma sio antibiotics Kwa ajili ya hiyo shida Bali ya mfumo wa upumuaji
Dawa ya UTI ni ciproflaxacin kama nimepatia
Dawa ni nini mkuu? Na kwanini antibiotic sio dawa?Azuma ni antibiotics na si dawa
AZUMA inatibu nn? Ilinisaidia kwenye COVID-19 ya awamu ya piliDawa nzuli ni
Amoxicillin and Clavulanate potassium (Amoxicillian clave 625 g.)
Samahani mkuuNafikiri kuniita dada umekosea asee mkuu