Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

Kwa kifupi UTI inapata watu wachafu. Fupisha hiyo.
 
Hii kitu naona hadi watu wa afya kama wamejaa kwenye mfumo , nashindwa kuaelewa
Ni kwamba kule Pharmacy ukisema unataka Azuma wanakupa maana hakuna udhibiti wa kuuza antibiotics. Ila ukienda hospital kama ukipewa Azuma lazima na dawa nyingine daktari akuandikie . Watu sasa kwenye zile dawa nyingine wanazopewaga huwa wanakariri Azuma tu kwahiyo siku nyingine akiumwa anaenda Pharmacy anataka Azuma. Azuma pia jina lake ni rahisi ndio maana watu wameshika.
 
Bwashee, Dawa sahihi ya UTI kwa ile ambayo bado haijawa sugu ni FOSFOMYCIN ila kwa UTI ambayo imekomaa tunatumia LEVOFLOXACIN, hiyo AZUMA inatibu zaidi magonjwa ya njia ya mfumo wa hewa na kifua pamoja na baadhi ya magonjwa ya STIs kama Chlamydia
 
Kimsingi kumeza dawa bila vipimo ni tatizo kubwa sana, hili tatizo limepelekea ukuaji mkubwa sana wa antibiotic resistance, vimelea vya bacteria vina evolve kuzishinda hizo dawa kwa sababu zinatumiwa bila kufuata dozi ya kitaalamu.
 
Kimsingi kumeza dawa bila vipimo ni tatizo kubwa sana, hiki tatizo limepelekea ukuaji mkubwa sana wa antibiotic resistance, vimelea vya bacteria vina evolve juzishinda hizo dawa kwa sababu zinatumiwa bila kufuata dozi ya kitaalamu.
Mno bwashee
 
Kimsingi kumeza dawa bila vipimo ni tatizo kubwa sana, hiki tatizo limepelekea ukuaji mkubwa sana wa antibiotic resistance, vimelea vya bacteria vina evolve juzishinda hizo dawa kwa sababu zinatumiwa bila kufuata dozi ya kitaalamu.
Hilo ndo tatizo kuu na ni kwa sababu antibiotics zinauzwa kiholela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…