Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

eti ni kweli pepsi baridi ni dawa ya kukata na kuondoa hangover kabisa?🐒
 
Nafikiri kuna matibbu mengi yanatolewa ambayo sio sahihi kwa UTI
Na ndio sababu watu wengi wamekuwa sugu....kiasi cha kuhitaji 2nd line ila wakienda mahospitali wanarudishiwa dawa zile zile za 1st line....ndio sababu hawaponi
 
Tatizo kabla hawajaenda mahospitalini wanajitibu kwanza mtaani kwa dawa za kuambiwa na marafiki,wakiona mambo yamegoma ndo wanaenda hospital.
 
Shida hilo jina la ciprofloxacin halijatrend.....
Ila ndo strong antibiotic kwa ajili ya mfumo wa mkojo na zingine zingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…