Nani alitudanganya sisi wamatumbi kuwa AZUMA , ni dawa ya U.T.I?

Azuma ni antibiotic inasaidia magonjwa ya
1. Maambukizi ya koo na njia ya hewa
2. Maambukizi ya ngozi
3. Baadhi ya maambukizi ya sikio
4. Chlamydia na baadhi ya magonjwa ya zinaa
5. Kifaduro (Whooping cough)
Labda tuseme hii ya hapa kwetu haina grade
 
Kuna wengine wameanza kubugia doxycycline kabla ya game na baada, sio pw
 

Hivi huwa nashangaa mbona UTI wanaumwa wanawake na km kisa ni kufirana, mbona mashoga hawaumwi UTI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…