Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Braza Meni shame mchana Godoro ulimi wa Mbwa?Habari wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwenye jamii yetu. Watu wengi huamini kwamba kuhama nyumba ni jambo linalopaswa kufanyika usiku, kiasi kwamba mtu akihama mchana huonekana kama amefanya kitu kisicho cha kawaida.
Binafsi najiuliza, hii dhana ilianzia wapi? Je, kuna sababu za msingi zinazofanya watu wahame usiku zaidi kuliko mchana, au ni mazoea tu yaliyojengeka kwenye jamii?
Kwa mtazamo wangu, kuhama ni kuhama tu, iwe mchana au usiku. Kila muda una faida na changamoto zake. Lakini bado wengi wanaonekana kuhusisha kuhama usiku na usiri, uchumi wa gharama, au hata imani fulani za kijamii.
Je, wewe unaonaje? Umewahi kuhama mchana au usiku? Unafikiri kwa nini watu wengi hupendelea kuhama usiku?
Karibuni kwa maoni na uzoefu wenu.
Sasa familia inahama na vitu vyote vimeenea kwenye bodaboda pamoja na family members, Kwann tusihame usiku π
Na ukiwa na pesa Huwez kuhamia sehemu ya kichovu hvy hutokuwa na presha ya kukimbizana kuhama usiku ety watu wasione mali zangu waje kuiba πUnahama muda wowote tu ukiwa na pesa
Hahaha wakiona tv yangu ya nchi 75 itakuwaje so ukiona hivyo mtu anahamia uswahili masaki huko hawana mambo hayoπNa ukiwa na pesa Huwez kuhamia sehemu ya kichovu hvy hutokuwa na presha ya kukimbizana kuhama usiku ety watu wasione mali zangu waje kuiba π
Mm mwnyw baadhi ya vitu vyangu nilivibeba kwenye boda mana sikuwa na haraka ya kuhama, mana nilihamisha Vitu mdogo mdogo, Sasa unahamisha labla TV pekee yake utaiweka kwenye gari au kwenye boda?aiseee ππ π View attachment 3607503
Huwez kuwa uswahilini kwa mfuga mbwa Afu Upate akili na pesa ya kununua tv inch 75.Hahaha wakiona tv yangu ya nchi 75 itakuwaje so ukiona hivyo mtu anahamia uswahili masaki huko hawana mambo hayoπ
Issue ni tutafute pesa hata mchana unahamaMm mwnyw baadhi ya vitu vyangu nilivibeba kwenye boda mana sikuwa na haraka ya kuhama, mana nilihamisha Vitu mdogo mdogo, Sasa unahamisha labla TV pekee yake utaiweka kwenye gari au kwenye boda
NaamIssue ni tutafute pesa hata mchana unahama
Mara nyingi huwa ni privacy! Unakuta mtu ana masufuria, magodo au furniture chakavu au hata vitu vya thamani ambavyo wezi wanaweza kuvutika. Kwa kifupi watu wanakwepa jamii kujua undani wa wanavyomiliki. Pia sehemu unayohama au kuhamia, kuna wengi tu ahawataki ku-attract attention ya mtaa mzima.Habari wakuu,
Kuna jambo nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwenye jamii yetu. Watu wengi huamini kwamba kuhama nyumba ni jambo linalopaswa kufanyika usiku, kiasi kwamba mtu akihama mchana huonekana kama amefanya kitu kisicho cha kawaida.
Binafsi najiuliza, hii dhana ilianzia wapi? Je, kuna sababu za msingi zinazofanya watu wahame usiku zaidi kuliko mchana, au ni mazoea tu yaliyojengeka kwenye jamii?
Kwa mtazamo wangu, kuhama ni kuhama tu, iwe mchana au usiku. Kila muda una faida na changamoto zake. Lakini bado wengi wanaonekana kuhusisha kuhama usiku na usiri, uchumi wa gharama, au hata imani fulani za kijamii.
Je, wewe unaonaje? Umewahi kuhama mchana au usiku? Unafikiri kwa nini watu wengi hupendelea kuhama usiku?
Karibuni kwa maoni na uzoefu wenu.
Hy pia n sababu ila sio sababu kubwa.So wanaosema sijui wezi sijui usiri sijui usalama ni balabala tu issue ni hela
Kwa hii point yako ishu sio privacy, bali ni umasikini tuuMara nyingi huwa ni privacy! Unakuta mtu ana masufuria, magodo au furniture chakavu au hata vitu vya thamani ambavyo wezi wanaweza kuvutika. Kwa kifupi watu wanakwepa jamii kujua undani wa wanavyomiliki. Pia sehemu unayohama au kuhamia, kuna wengi tu ahawataki ku-attract attention ya mtaa mzima.