Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

Nani aliwachagua kuwa viongozi wa dunia? G7 ni viongozi wa nchi 7 tu si zaidi ya hapo

Sio tu viwanda ndo vitakuweka G7 vipo vitu vingine ikiwepo kujali humam rights ndio maana China hayupo humo , hayo mataifa yote yaangalie vzr yana mifumo mizur ya kisiasa , China na Urusi haina mifumo imara ya kisiasa
Kuna wakati wowote katika historia ya dunia west walishakubali kwamba Russia wana mfumo mzuri wa kisiasa? Kwanini awali walimkubali na akawa member wa 8? Na kama kigezo ni mfumo mzuri wa kisiasa mbona sioni Nordic country hata 1?
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Back
Top Bottom