Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mbona hitler na iddi amin huachi kuwaongelea. Yule record mbaya aliyoiacha ataongelewa mpaka mwishoHamna hoja muacheni apumzike kila siku mnamuongelea Mtu mmoja Upumbavu tu
Itabaki kua kumbukumbu mbaya kwa taifa muda wote na mfano mbaya matendo yake kamwe hayatosahaulika ametwachia vidondaMimi ni CHADEMA lakini kwa suala hili chama kinazingua sana, kuna haja gani ya kuhangaika na mtu aliyetangulia kwa Mungu?
Mie sijawahi kuwaelewa hao watu wa JPM wasimpompa kura Chadema ndio watampa Samia ambaye ndio anamng'onga JPM Kila kukicha!!?
Tatizo sukuma gang hawana option wakimpigia Samia Yale Yale wakimpigia Chadema Yale Yale wote hawaivi na JPM. So hoja Yako ingekua mashiko kama kungekua na chama Cha tatu ambacho ni loyalists wa JPM but since hakipo then hakuna kura ya Chadema itapotea labda tu watu wa JPM hawatopiga kura ndio madhara pekee nayoona.
We MPUMBAVU na MJINGA nadhani ulitakiwa utozwe mpaka tozo ya makalio ndiyo akili ikufunguke.Unang'ang'ania watu kupigwa risasi unajua wangapi leo wamekufa kwa njaa, umeme kukatika wakiwa ICU, ajali kwa ubovu wa miundombinu? Au nao sio watu? Watu kama nyie mlipaswa mnyongwe kabisaNyie wapumbv na wajinga huyo mjinga Mapombe aliharibu nchi akaua watu ,akapiga risasi so mlikuwa hamuoni wajinga nyie huyo Jamaa yenu
Usifundishe watu unafiki kisa kura! Ukweli kuwa alikuwa kiumbe muovu na wa hovyo sana lazima usemwe tena kwa sauti kubwa ili kila mtu asikie.Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli.
Kuna baadhi ya mambo ambayo hata magufuli angekuwepo naamini asingebadili chochote lakini alishawaaminisha watu Imani ambayo ni ngumu kufutika katika kizazi kilichowahi kuyaona na kuyasikia maamuzi yake.
Ukweli ni kwamba kumsema vibaya magufuli ukiondoa kujipoza machungu na kuwapoza machungu wahanga wachache wa utawala wake hakuna tija yoyote linapohusika suala la kuongeza kura.
Magufuli mwenyewe alizoea kuwasema vibaya watangulizi wake lakini alitenda jambo lililowaaminisha watu kuwa inawezekana ni kweli watangulizi wake walikuwa na shida.
Unapomponda magufuli huku vitu vinapanda bei, umeme unakatika hovyo rushwa na urasimu na mauzauza mengi serikalini unakua hujui unalotenda.
Licha ya matatizo ya magufuli lakini sio uongo kwamba bado ana waumini wake wengi pengine kuliko kiongozi mwingine yeyote wa hivi karibuni hapa nchini. Hivyo hata kama unamchukia Kwa kiwango gani Kwa ajili ya kulinda kura ni bora ukapitezea kabisa mada zinazomhusu.
Nina kadi ya CHADEMA tangu 2006. Sijawahi kua mwanachama wa CCM. Kura yangu ya Urais nilimpa Dr JPM, Ubunge na Diwani CHADEMA.
…. pia watapukutika kufa vifo vibaya vibaya wote mpaka kizazi chao kiishe. Ni wajinga sana.Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli.
Kuna baadhi ya mambo ambayo hata magufuli angekuwepo naamini asingebadili chochote lakini alishawaaminisha watu Imani ambayo ni ngumu kufutika katika kizazi kilichowahi kuyaona na kuyasikia maamuzi yake.
Ukweli ni kwamba kumsema vibaya magufuli ukiondoa kujipoza machungu na kuwapoza machungu wahanga wachache wa utawala wake hakuna tija yoyote linapohusika suala la kuongeza kura.
Magufuli mwenyewe alizoea kuwasema vibaya watangulizi wake lakini alitenda jambo lililowaaminisha watu kuwa inawezekana ni kweli watangulizi wake walikuwa na shida.
Unapomponda magufuli huku vitu vinapanda bei, umeme unakatika hovyo rushwa na urasimu na mauzauza mengi serikalini unakua hujui unalotenda.
Licha ya matatizo ya magufuli lakini sio uongo kwamba bado ana waumini wake wengi pengine kuliko kiongozi mwingine yeyote wa hivi karibuni hapa nchini. Hivyo hata kama unamchukia Kwa kiwango gani Kwa ajili ya kulinda kura ni bora ukapitezea kabisa mada zinazomhusu.
Hiyo ndiyo nature ya siasa ni chadema waliomponda lowasa kuwa ni fisadi miaka kibao Hadi wakamuorodhesha kwenye Ile list of shame ila huwezi amini ndani ya siku moja waligeuka na kuanza kumsifia na kumsafisha ili awapatie kuraUsifundishe watu unafiki kisa kura! Ukweli kuwa alikuwa kiumbe muovu na wa hovyo sana lazima usemwe tena kwa sauti kubwa ili kila mtu asikie.
Hata mbele ya mama Jeska anapaswa kuelezwa kuwa jamaa yako alikuwa wa hovyo
Naona Kila dalili ya chadema kukata tamaa hivyo wanatafuta hoja za kuwaondolea kura alafu waanze kusingizia tume huru na jeshi la policeMiaka elfu unaijua wewe.acha kuota ndoto za kimweri.Jpj is no more.watu wanaongelea historia ili yasijirudie.Kura ata mkichaguana Ccm hiyo miaka elfu bado hakuna jipya.
Tusipende vyama mpaka tunakuwa vipofu kabisa ni ukweli chadema wana uwezo wa kupata kura nyingi ila kushinda uraisi bado sana maana licha ya kujieneza sana lakini nyakati za uchaguzi walishindwa kusimamisha wagombea ubunge majimbo yote Tanzania bara ukiacha baadhi ya majimbo wanayosimamisha mtu Bora liendeWaombe wenzio wafanye uchaguzi wa haki alafu urudi hapa kuleta mada za hovyo
Are you serious? Yaani muweke sawa uovu wa magufuli Kwa kuunganisha nguvu kati ya ccm na chadema huku mkiyaweka kando matatizo yanayowatesa watanzania?Ipo haja uovu wa Magufuli usemwe wazi ili kulielimisha Taifa lisije likakubali kuongozwa kwa Ulaghai tena.
Kama Taifa lilikuwa brainwashed ni muhimu likawa "unbrainwshed" kwa ajili ya manufaa ya kizazi kijacho.
Usipoweka rekodi sawa pindi mkitawaliwa na kiongozi dhalimu kama Magufuli, ipo siku Taifa litafanya kosa lilelile la kuamini matapeli na madhalimu na kuwapa dhamana kubwa na hivyo kujikuta linaingia katika shimo refu sana.
Matendo ya kidhalimu ya Magufuli lazima yasemwe ili kunusuru kizazi cha sasa na kijacho!
Lini Tanzania haijawahi kuwa na Matatizo?Are you serious? Yaani muweke sawa uovu wa magufuli Kwa kuunganisha nguvu kati ya ccm na chadema huku mkiyaweka kando matatizo yanayowatesa watanzania?
Hata ungekuwa wewe, yale Magufuli aliwatendea CHADEMA wacha wateme nyongo!Inawezekana kabisa kwamba magufuli alikuwa na madhaifu yake, na inaweza isiwe dhambi kumsema vibaya. Ila kwa watu wenye malengo ya kutafuta kura Kwa wananchi wa kawaida walipaswa kupotezea kabisa habari za magufuli.