Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

Mimi ni CHADEMA lakini kwa suala hili chama kinazingua sana, kuna haja gani ya kuhangaika na mtu aliyetangulia kwa Mungu?
Itabaki kua kumbukumbu mbaya kwa taifa muda wote na mfano mbaya matendo yake kamwe hayatosahaulika ametwachia vidonda
 
Hicho ni chama cha hovyo sana Si bure mpaka sasa hakina hata ofisi na si bure miaka yote inaisgia kuwa failure kwenye chaguzi, Hivi unaanzaje kumuongelea vibaya Magufuli mbele ya watanzania na utegemee watakuelewa? Hapo ndipo walipofeli, Wananchi hawana umeme, maji mgao n.k laiti kama wangejikita kuongelea hayo na kuchukua yale mazuri ya JPM wangeshinda kwa kishindo.
 
Vipi kile chama cha Umoja party? Kilifikia wapi?
 
Nyie wapumbv na wajinga huyo mjinga Mapombe aliharibu nchi akaua watu ,akapiga risasi so mlikuwa hamuoni wajinga nyie huyo Jamaa yenu
We MPUMBAVU na MJINGA nadhani ulitakiwa utozwe mpaka tozo ya makalio ndiyo akili ikufunguke.Unang'ang'ania watu kupigwa risasi unajua wangapi leo wamekufa kwa njaa, umeme kukatika wakiwa ICU, ajali kwa ubovu wa miundombinu? Au nao sio watu? Watu kama nyie mlipaswa mnyongwe kabisa
 
Usifundishe watu unafiki kisa kura! Ukweli kuwa alikuwa kiumbe muovu na wa hovyo sana lazima usemwe tena kwa sauti kubwa ili kila mtu asikie.
Hata mbele ya mama Jeska anapaswa kuelezwa kuwa jamaa yako alikuwa wa hovyo
 
…. pia watapukutika kufa vifo vibaya vibaya wote mpaka kizazi chao kiishe. Ni wajinga sana.
 
Miaka elfu unaijua wewe.acha kuota ndoto za kimweri.Jpj is no more.watu wanaongelea historia ili yasijirudie.Kura ata mkichaguana Ccm hiyo miaka elfu bado hakuna jipya.
 
Usifundishe watu unafiki kisa kura! Ukweli kuwa alikuwa kiumbe muovu na wa hovyo sana lazima usemwe tena kwa sauti kubwa ili kila mtu asikie.
Hata mbele ya mama Jeska anapaswa kuelezwa kuwa jamaa yako alikuwa wa hovyo
Hiyo ndiyo nature ya siasa ni chadema waliomponda lowasa kuwa ni fisadi miaka kibao Hadi wakamuorodhesha kwenye Ile list of shame ila huwezi amini ndani ya siku moja waligeuka na kuanza kumsifia na kumsafisha ili awapatie kura
 
Shindeni nyie ccm mnaoongoza nchi toka uhuru.wewe endelea kuabudu marehem.
 
Miaka elfu unaijua wewe.acha kuota ndoto za kimweri.Jpj is no more.watu wanaongelea historia ili yasijirudie.Kura ata mkichaguana Ccm hiyo miaka elfu bado hakuna jipya.
Naona Kila dalili ya chadema kukata tamaa hivyo wanatafuta hoja za kuwaondolea kura alafu waanze kusingizia tume huru na jeshi la police
 
Ipo haja uovu wa Magufuli usemwe wazi ili kulielimisha Taifa lisije likakubali kuongozwa kwa Ulaghai tena.

Kama Taifa lilikuwa brainwashed ni muhimu likawa "unbrainwshed" kwa ajili ya manufaa ya kizazi kijacho.

Usipoweka rekodi sawa pindi mkitawaliwa na kiongozi dhalimu kama Magufuli, ipo siku Taifa litafanya kosa lilelile la kuamini matapeli na madhalimu na kuwapa dhamana kubwa na hivyo kujikuta linaingia katika shimo refu sana.

Matendo ya kidhalimu ya Magufuli lazima yasemwe ili kunusuru kizazi cha sasa na kijacho!
 
Waombe wenzio wafanye uchaguzi wa haki alafu urudi hapa kuleta mada za hovyo
Tusipende vyama mpaka tunakuwa vipofu kabisa ni ukweli chadema wana uwezo wa kupata kura nyingi ila kushinda uraisi bado sana maana licha ya kujieneza sana lakini nyakati za uchaguzi walishindwa kusimamisha wagombea ubunge majimbo yote Tanzania bara ukiacha baadhi ya majimbo wanayosimamisha mtu Bora liende
 
Are you serious? Yaani muweke sawa uovu wa magufuli Kwa kuunganisha nguvu kati ya ccm na chadema huku mkiyaweka kando matatizo yanayowatesa watanzania?
 
Are you serious? Yaani muweke sawa uovu wa magufuli Kwa kuunganisha nguvu kati ya ccm na chadema huku mkiyaweka kando matatizo yanayowatesa watanzania?
Lini Tanzania haijawahi kuwa na Matatizo?

Kama ni ufisadi kwani kipindi cha Magufuli haukuwepo?- Si ni Magufuli alitutangazia Kangi Lugola na Andengenye wamepiga dili kwenye kandarasi ya polisi, akawatumbua, kisha hakuwafikisha mahakamani na huyo Andengenye akamfanya mkuu wa mkoa wa Kigoma. Hapo kuna kupambana na ufisadi hapo?
 
Hata ungekuwa wewe, yale Magufuli aliwatendea CHADEMA wacha wateme nyongo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…