Nani aliwadanganya CHADEMA wamponde Hayati Magufuli majukwaani!!? Hili jambo litawanyima kura miaka elfu

Mkuu msamehe bure huyu jamaa ni mwalimu wa shule ya msingi, ufukara na njaa vinawasumbua hawa watu. Mimi kwakweli hata ndugu akishakuwa mwalimu hua namfuta kwenye hesabu zangu. Tutafute pesa tupeleke watoto shule binafsi huku serikalini ndio wanakutana na maalimu ya aina ya hili jamaa wanaweza kuambukizwa ujinga.
 
Ila nyie Sukuma Gang Niwanafiki Sana.
Hivi Mnaweza kutuambia Ni Lini Magufuli Alipambana Na Mafisadi. Zaidi Yakukimbazana Na Viongozi Na Wafuasi wa Vyama Vya Upinzani.Magufuli Alikuwa Mwizi Kuliko Viongozi Wote Waliomtangulia.Wezi Wote Na Mafisadi Alikaa Nao Mezani Nakuchukua Pesa Zao Za Wizi Na Ufisadi Na Mambo Yakaisha.
Pesa Zenyewe Mpk Leo Hazijulikani Zimefanyia Nini Au Ziko Wapi!?.
 
Kinachokuuma hapa nikuongelewa Magufuli Na Siyo Kwamba Unaipenda Chadema.
Kaa kwa Kutulia Sukuma Gang
 
Yaani shetan asisemwe kisa kura?
 
Ukiangalia aina ya watu wanaomkubali Jiwe ni watu wa hovyo hovyo sana, ndiyo maana hakuna mtu hata mmoja wa maana anayemkubali Jiwe, kama unabisha mtaje hata mmoja tu hapa nchini
 
Nadhani wamepewa hayo masharti. Wanashindwa ongelea kupanda kwa gharama za maisha, tatizo la ajira, ufisadi na matumiz mabya ya pesa za umma. Wanashindana na marehem
Wewe nini kinakushinda kuyasemea hayo? Au chadema ndiyo baba yako? Chadema hawahitaji kura za nyie Sukuma gang
 
Huyo alikuwa ibilisi
 
Umeandika Magufuli alizoea kuwaponda watangulizi wake, halafu unazuia yeye kupondwa! Sasa hapo umeandika Nini? Kama aliwaponda watangulizi wake jibu tayari umelitoa, na yeye amipondwa ni sawa tu.
 
Uovu wa Jiwe uligusa Watanzania wengi, ndiyo maana kila sehemu anasemwa vibaya.
 
Umeandika Magufuli alizoea kuwaponda watangulizi wake, halafu unazuia yeye kupondwa! Sasa hapo umeandika Nini? Kama aliwaponda watangulizi wake jibu tayari umelitoa, na yeye amipondwa ni sawa tu.
Aliwaponda lakini alionyesha mambo ya tofauti yaani anasema walikuwa wanakata umeme makusudi na umeme ukaacha kukatika alisema yalikuwa madili ya kuuza majenereta na kweli tumeyaona tena
 
Ukiangalia aina ya watu wanaomkubali Jiwe ni watu wa hovyo hovyo sana, ndiyo maana hakuna mtu hata mmoja wa maana anayemkubali Jiwe, kama unabisha mtaje hata mmoja tu hapa nchini
Watu wa hovyo hovyo tupo wengi na tunamkubali JPM,wewe endelea kuwakubali unaowakubali wewe.
Usje shangaa ata wazazi wako nao wanamkubali huyo JPm na tuko nao kwenye HILI KUNDI LA WATU WA HOVYO SANA.
 
Ukiwa mwanasiasa Kisha ukaanza kuchikua matatizo binafsi na kuyafanya kuwa sehemu ya sera yako na kujaribu kuwashawishi watu wkuhurumie Kwa yaliyokupata hufai kuwa kiongozi nenda kwenye nyumba za huruma.
Sasa wakimpinga yule muuaji wewe unaumia wapi? Kwanini usiwape ushauri Act kutumia hiyo nafasi?
 
Watu wa hovyo hovyo tupo wengi na tunamkubali JPM,wewe endelea kuwakubali unaowakubali wewe.
Usje shangaa ata wazazi wako nao wanamkubali huyo JPm na tuko nao kwenye HILI KUNDI LA WATU WA HOVYO SANA.
Basi jua yawezekana Chadema hawataki kura za Sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…